Dovutwa amfananisha Lowassa na Kawawa

Dovutwa amfananisha Lowassa na Kawawa

If it is true that Hon. Lowasa is interested in the highest position in our country then It is strange! We need to ask ourselves what is he looking for ? he is not a presidential material and his background proves this. Unfortunately Tanzanians are forgetful people! Mwalimu never endorsed him for the very good reasons. Kw mtu mwenye akili atajiuliza kwa nini ang'ang'anie kwenda Ikulu with all that weath he has accummulated! For sure he can't prove Mwalimu wrong rather than proving himself and forgetful Tanzanians wrong
 
Dovutwa umeongoa kitu kilichopo mioyoni mwa watanzania, kiukweli jamaa ni noma kwa kuchapa mzigo zaidi ya mchina.
 
dovutwa ndani ya payroll ya mamvi hatimaye. njaa mbaya.
 
Huyu Fahmi Dovutwa alinimaliza na sera zake kile kipindi cha kampeni za kinyanganyiro cha Uraisi, eti aliwaambia wananchi kua akichaguliwa kua Raisi wa nchi hii kitu cha kwanza atakachokifanya ni kujenga kiwanda cha silaha!
 
Huyu mlafi naye bei chee sana. Anyway ndio wanasiasa wa Bongo hawa, kazi tunayo.
 
Dovutwa umeongoa kitu kilichopo mioyoni mwa watanzania, kiukweli jamaa ni noma kwa kuchapa mzigo zaidi ya mchina.

chunga njaa mbaya baba!watanzania gani?design ya dovutwa?kwani dovutwa ana akili timamu?lowasa yupo kwenye vichwa msio na mnao fikiri kwa kutumia masaburi sio sisi werevu....huoni hata aibu kubwa zima akili*****
 
huwezi kulinganisha Fisadi na Masikini., kawawa amekufa akiwa masikini kabisa hana kitu alitumia nguvu zake kwa ajili ya watanzania, EL ni tajiri mkubwa.
 
Tatizo za nyie majua mtu akitoa maoni yake mnanamwona hana akili. Na hiyo ndiyo tabia ya majuha.Always they think cheap.

Ni udhaifu wa majuha na kwa kuwa mko wengi tutaendelea kupata ujuha wenu humu ndani. Dovutwa katoa maoni yake nyie na ujuha wenu mnaanza kumjadili yeye. Kila siku nawaambia jadili issues na si mtu, kujiona nyie bora kumbe majua.

Dovutwa alithubutu akagombea hadi te highest post in the country, wewe umefanya nini kama si kushinda humu unaandika ujinga ambao hata faida yake si kwamba sisi hatuijui hata wewe kwa jinsi ulivuo zoba huijui. Mnabore
 
Anajidhalilisha! badala ya kujenga chama chake yeye anageuka vuvuzela. Kweli njaa mbaya wandugu!
 
chunga njaa mbaya baba!watanzania gani?design ya dovutwa?kwani dovutwa ana akili timamu?lowasa yupo kwenye vichwa msio na mnao fikiri kwa kutumia masaburi sio sisi werevu....huoni hata aibu kubwa zima akili*****
Dovutwa ni puppet!.. Yuko kwenye pay roll ya CC - mabwepande!... ................Msiponichagua mimi mchague JK!.
 
Tatizo za nyie majua mtu akitoa maoni yake mnanamwona hana akili. Na hiyo ndiyo tabia ya majuha.Always they think cheap. Ni udhaifu wa majuha na kwa kuwa mko wengi tutaendelea kupata ujuha wenu humu ndani. Dovutwa katoa maoni yake nyie na ujuha wenu mnaanza kumjadili yeye. Kila siku nawaambia jadili issues na si mtu, kujiona nyie bora kumbe majua.Dovutwa alithubutu akagombea hadi te highest post in the country, wewe umefanya nini kama si kushinda humu unaandika ujinga ambao hata faida yake si kwamba sisi hatuijui hata wewe kwa jinsi ulivuo zoba huijui. Mnabore
Hongera sana ................. Umejadili issues!......
 
Mwakembe alisema kuna mambo mengine hawakuweka wazi kwenye kashfa ya richmond ili serikali isichafuke, aliyasema hayo baada ya lowasa kujiudhulu. mpaka leo sijui alimaanisha nini, lakini kinachonishangaza sana, mitambo ile tuliaminishwa haifai na haina uwezo, ikiitwa Richimond, ikabatizwa Dowans ikaonekana inafaa kukodishwa. leo inaitwa Syimbion, na inazalisha. masikini tanzania./:israel:
 
Back
Top Bottom