Mwanaukweli
JF-Expert Member
- May 18, 2007
- 4,789
- 1,732
Hii ilikuwa April 2012.Huyu yuko lumande sasa hivi.
Mkuu nadhani umekurupuka, hukutafakari kabla ya kupost.Huyu alichofanya hapa siyo ugaidi bali na kutumia haki yake ya ki-demokrasia ya kueleza mawazo yake. Tofauti ya huyu na Rwakatare ni kwamba huyu ameyasema mawazo yake hadharani, mbele ya makundi ya watu na kwa kutumia kipaza sauti. Amewataja wanasiasa ambao kwa mtazamo wake anadhania hawana uchungu na nchi yao na amependekeza kwamba kuingia msituni ni moja ya njia za ukombozi, kitu ambacho ni kweli.
Rwakatare amezungumza kwenye usiri, na alikuwa anapanga kumdhuru mtu binafsi ambaye anafanya kazi kama mwandishi wa habari kwa kutumia sumu, dawa za usingizi, malaya wa barabarani na kadhalika.
Mapinduzi na ugaidi ni vitu viwili tofauti.
Dunia nzima mkuu. Democracy ni mfumo mzuri sana kama wananchi wenyewe wameuchagua. Panaposhindikana democracy mapinduzi hufanyika ili kuwezesha democracy kuota. Marekani, South Africa, Kenya, Zanzibar n.k zimekombolewa kimapinduzi.Mkuu nadhani umekurupuka, hukutafakari kabla ya kupost.
Unamaanisha raia akiona amechoshwa na serikali/viongozi anaruhusiwa kuhamasisha KUANZISHA KIKUNDI CHA UHARAMIA?
Ni kwa Zanzibar tu au hata kwa Bara?
Uharamia/ugaidi na mapinduzi ni dhana mbili tofauti kabisa.Dunia nzima mkuu. Democracy ni mfumo mzuri sana kama wananchi wenyewe wameuchagua. Panaposhindikana democracy mapinduzi hufanyika ili kuwezesha democracy kuota. Marekani, South Africa, Kenya, Zanzibar n.k zimekombolewa kimapinduzi.
Kitu ambacho kinawapa wazanzibari uhalali wa kufikiri kimapinduzi ni vitu viwili.
Kwanza: Muungano hauna ridhaa yao. Nadhani wengi watakubali kwamba wazanzibari kama wangekuwa na chaguo la kidemokrasia basi wangechagua kujitawala wenyewe nje ya muungano.
Pili: Historia ya Zanzibar. Wazanzibari ni watu wenye mwamko wa hali ya juu sana kisiasa kuliko waafrika wengine wengi sana. Na hii inachangiwa na wao kutokuwa na tofauti za kikabila na kiimani. Ni rahisi sana kwao kuwa "organised" na kusonga mbele kama taifa. Na ndiyo maana wameweza kufanya mapinduzi na kutwaa uhuru wao kwa kupigana.
Kwahiyo mimi sishangai kuona mzanzibari anafikiri kimapinduzi.
Huyu jamaa anafanana na mtuhumiwa wa mauaji ya padri Mushi. Wataalamu tusaidieni ku connect dots... Kwa uchunguzi wangu binafsi wa haraka haraka naona ni yeye, kwani anajitamburisha jina kuwa yeye ni Omari Mussa Makame. Jina linalo machi na mtuhumiwa wa mauaji ya padri Mushi
Source: MICHUZI: MTUHUMIWA WA MAUAJI YA PADRI MUSHI MAHAKAMANI
Hii ilikuwa April 2012.
Amekamatwa lini? na kwa kosa gani? Hili ni sawa?
Hii ilikuwa April 2012.
Amekamatwa lini? na kwa kosa gani? Hili ni sawa?
mpaka JK wa ukweli afufuke ndio wapate hayo wanayoyataka
Kuna wakati ni vizuri kutokuandika chochote, huu ni zaidi ya upuuzi, kuanzisha vikundi vya uharamia unasema ni uana mapinduzi! Na unaona njia sahihi, kwa hiyo unaamini kama ndiye aliyemuua padri basi yuko sahihi, maana aliongea hadharani, Ushabiki ukizidi unatutoa akili..Dunia nzima mkuu. Democracy ni mfumo mzuri sana kama wananchi wenyewe wameuchagua. Panaposhindikana democracy mapinduzi hufanyika ili kuwezesha democracy kuota. Marekani, South Africa, Kenya, Zanzibar n.k zimekombolewa kimapinduzi.
Kitu ambacho kinawapa wazanzibari uhalali wa kufikiri kimapinduzi ni vitu viwili.
Kwanza: Muungano hauna ridhaa yao. Nadhani wengi watakubali kwamba wazanzibari kama wangekuwa na chaguo la kidemokrasia basi wangechagua kujitawala wenyewe nje ya muungano.
Pili: Historia ya Zanzibar. Wazanzibari ni watu wenye mwamko wa hali ya juu sana kisiasa kuliko waafrika wengine wengi sana. Na hii inachangiwa na wao kutokuwa na tofauti za kikabila na kiimani. Ni rahisi sana kwao kuwa "organised" na kusonga mbele kama taifa. Na ndiyo maana wameweza kufanya mapinduzi na kutwaa uhuru wao kwa kupigana.
Kwahiyo mimi sishangai kuona mzanzibari anafikiri kimapinduzi.
Kuna wakati ni vizuri kutokuandika chochote, huu ni zaidi ya upuuzi, kuanzisha vikundi vya uharamia unasema ni uana mapinduzi! Na unaona njia sahihi, kwa hiyo unaamini kama ndiye aliyemuua padri basi yuko sahihi, maana aliongea hadharani, Ushabiki ukizidi unatutoa akili..