Hata mimi napata wasiwasi na hii misafara ya wanaojiita wastaafu kwenda magogoni kila kukichaBinafis naona kama alianza vizuri sana, sema pengine amepata washauri wabaya au wenye maslahi na hao wanaozungumziwa sana kwa ufisadi.....Kunyoosha nchi inataka moyo kweli...kwa kuwa hata JK first 6 months in office alifanya hivyo hivyo tu.....
Huna ulichokiandika zaidi ya kuendeleza sifa ya jina lakoDouble standard ni kumkaribisha mliyemuita fisadi kugombea urais kupitia chama chenu
Kwa kuianzisha hiyo mahakama ndio utakuwa ni mwanzo wa kuitisha uchaguzi mkuu mwingine maana wabunge woote wa CCM wataburuzwa kwa pilato na kukosa akidi ya wabungeMleta uzi kumbuka kuweka akiba ya maneno. Mahakama ya mafisadi inaanza kazi rasmi mwezi Julai mwaka huu.
Mkuu mbona unaongea kwa unyonge sana wamekutumbua nini maana nyie ndo mliokuwa mnatamba kuwa ni untouchable ,lakin pamja na hayo huwezi kufanya mambo ishirini kwa mkupuo tunaenda taratibu mkuu swala moja baada ya lingine wote hao wa RICHMONDI ,EPA ,sijui escrow tutawafikia tunasimamia swala moja baada ya lingine hatuwezi kubeba yote kwa pamoja na naamini baada ya hili la WATUMISHI HEWA na wewe tutakufikia kwa hiyo kaa mkao wa kula ,Punguani niwewe ulietupia lipicha kama mnyama
Hiyo ngoma ilipigwa freeeeeeeeeeWafanyakazi hewa BOT! Hakuonyesha makucha
Ukiona hivo wala usiomize kichwa hao ni watu wa Lowasa wanaogopa hadi kutaja neno RICHMONDUnataja ufisadi wa EPA, Escrow mbona utaji Richmond unahofia nini wewe punguani?
Naona umedhamilia kuingia kwenye land cruise ( kilimo kwanza ) ila umechelewaNikiwa mwanajamiiforum mwenzako nimeona nikukumbushe juu ya kuweka akiba ya maneno. Usipende kumdharau sana mtu ambaye ana cheo cha amiri jeshi mkuu haswa kwa nchi kama yetu ambayo anakuwa na mamlaka makubwa. Hujui kesho ataamua kufanya nini.
hujisikii vizuri kuniona JF?HIVI hapo NZEGA unafanya kazi kweli wewe OKWI BOBAN SUNZU
Unajua kabisa ufisadi ilikuwa na bado ni damu ya CCM.Magufuli amekiri hayo hadharani.Na CCM ni system,na system ndiyo imemuweka pale madarakani.
Utapopanda mtini kukata matawi,unawezaje kubaki salama unapokata tawi ulilokalia?Hiki ndicho chanzo cha double standards za Magufuli katika kutumbua majibu.
Hakuna upuuzi wa mtumishi wa umma unaofanywa bila kuwepo mwanasiasa wa CCM nyuma yake.Escrow tells,EPA reveals!
Nachotaka kusema ni kwamba,kwa double standard hizi,hakuna dhamira ya dhati katika kupambana na ufisadi.Watumishi wa umma wanatumbuliwa hadharani kwa tuhuma,wanasiasa wanatetewa kwa tuhuma na watu wameng'oa macho kusubiri mafanikio?
Hongera Kitwanga,Mwakyembe,January,Rithwan,Beno Ndulu,Likwelile nk
Nilisikiaga kwamba kamati ya bunge wakati ule hawakupata opportunity ya kumhoji Lowassa. Kuna anayejua kama alihojiwa au la?Double standard ni kumkaribisha mliyemuita fisadi kugombea urais kupitia chama chenu
Richmond si ndiyo inaitwa Symbion kwa sasa?Symbion ina ufisadi gani?Unataja ufisadi wa EPA, Escrow mbona utaji Richmond unahofia nini wewe punguani?
Richmond ni ya KikweteDouble standard ni kumkaribisha mliyemuita fisadi kugombea urais kupitia chama chenu
Mmiliki wa Richmond ni Kikwete huyo ataweza kujibu Vizuri zaidi.Richmond si ndiyo inaitwa Symbion kwa sasa?Symbion ina ufisadi gani?
alihukumia kihuni huni tu hakukuwa na kamati za kumhoji yeye bali ziliundwa kamati za kumhukumu moja kwa moja maana walijua wakimhoji angemhoji Mmiliki wa Richmond ingekuwa Aibu kubwa.Nilisikiaga kwamba kamati ya bunge wakati ule hawakupata opportunity ya kumhoji Lowassa. Kuna anayejua kama alihojiwa au la?
Richmond ni ya KikweteUnataja ufisadi wa EPA, Escrow mbona utaji Richmond unahofia nini wewe punguani?
Kikwete alienda marekani kuonana na hao Richmond aliporejea akatangazia umma kuwa amepata kampuni ya umeme inayoitwa Richmond, Sasa Lowasa yeye alikuwa akitekeleza maagizo ya Mmiliki wa Richmond yaani Kikwete.Lete ushahidi(Fact).. Vinginevyo yatabaki kua maoni TU.. Mimi tukio ninalo kumbuka kua memo ilitoka juu.. Ni ishu ya Richmond.. Lowasa aliwapa maagizo watu wa chini.. Watekeleze mkataba wa Richmond ata kama unamapungufu