Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,252
- 138,797
Hiyo itakuwa ni mahakama ya watumishi wa umma tu wanaotolewa kafara kama ilivyo ICC kwa viongozi wa nchi za kiafrika na si wazungu.Mleta uzi kumbuka kuweka akiba ya maneno. Mahakama ya mafisadi inaanza kazi rasmi mwezi Julai mwaka huu.
Nikiwa mwanajamiiforum mwenzako nimeona nikukumbushe juu ya kuweka akiba ya maneno. Usipende kumdharau sana mtu ambaye ana cheo cha amiri jeshi mkuu haswa kwa nchi kama yetu ambayo anakuwa na mamlaka makubwa. Hujui kesho ataamua kufanya nini.Hiyo itakuwa ni mahakama ya watumishi wa umma tu wanaotolewa kafara kama ilivyo ICC kwa viongozi wa nchi za kiafrika na si wazungu.
nimefurahishwa sana na hizo pongezi kwa hao waheshimiwa .Unajua kabisa ufisadi ilikuwa na bado ni damu ya CCM.Magufuli amekiri hayo hadharani.Na CCM ni system,na system ndiyo imemuweka pale madarakani.
Utapopanda mtini kukata matawi,unawezaje kubaki salama unapokata tawi ulilokalia?Hiki ndicho chanzo cha double standards za Magufuli katika kutumbua majibu.
Hakuna upuuzi wa mtumishi wa umma unaofanywa bila kuwepo mwanasiasa wa CCM nyuma yake.Escrow tells,EPA reveals!
Nachotaka kusema ni kwamba,kwa double standard hizi,hakuna dhamira ya dhati katika kupambana na ufisadi.Watumishi wa umma wanatumbuliwa hadharani kwa tuhuma,wanasiasa wanatetewa kwa tuhuma na watu wameng'oa macho kusubiri mafanikio?
Hongera Kitwanga,Mwakyembe,January,Rithwan,Beno Ndulu,Likwelile nk
Lete ushahidi(Fact).. Vinginevyo yatabaki kua maoni TU.. Mimi tukio ninalo kumbuka kua memo ilitoka juu.. Ni ishu ya Richmond.. Lowasa aliwapa maagizo watu wa chini.. Watekeleze mkataba wa Richmond ata kama unamapungufuKwa mfumo wa sheria na utumishi ulivyo Leo unaambiwa na waziri Fanya hiki ukisita unaambiwa hilo agizo toka juu ukikataa unafurushwa kwa kuhamishiwa Lindi huko ukale chumvi....
Watendaji wengi walifanya waloyafanya kwa maagizo toka juu ajabu wanatumbuliwa wao bila kutumbua huko juu!!
Hata ktk majeshi askari wa chini akitekeleza amri ya kamanda hawezi hpjiwa wala wajibishwa kwakua alitumwa/agizwa!!
Wacha sinema ziendelee ndio maana wengi waliotumbuliwa (watumishi) wamerejeshwa kimya kimya!!!
Richmond ndio Symbion IPO pale Ubungo inatafuna PESA tu mwambie Magu aifurushe.....Unataja ufisadi wa EPA, Escrow mbona utaji Richmond unahofia nini wewe punguani?
Lete ushahidi(Fact).. Vinginevyo yatabaki kua maoni TU.. Mimi tukio ninalo kumbuka kua memo ilitoka juu.. Ni ishu ya Richmond.. Lowasa aliwapa maagizo watu wa chini.. Watekeleze mkataba wa Richmond ata kama unamapungufu
Hiyo ni kweli kabisa mkuu, kama CCM inaendelea kutawala basi nasi tuendelee kufunga mikajaKusubiri maendeleo chini ya CCM ni sawa na kusubiri kuokota chungwa chini ya mti wa muembe!