Double standard: Masauni alipigiwa, Bashungwa ala maisha

Double standard: Masauni alipigiwa, Bashungwa ala maisha

Orketeemi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
5,514
Reaction score
14,173
Habar wakuu.

Kuna kitu kinaendelea nchini ambacho kimsingi sio kizuri.

Utekaji unaendelea kama kawaida .

Nauliza tatizo ni uislam wa Masauni au ni Ukristo wa Bashungwa?

Mbona hatusikii kwamba Bashungwa hafai kama ambavyo mitaa ilivyojaa kelele kwamba Hamad Masauni hafai?
 
no reforms --
 
Wote walikua wanakamilisha mission ya kumharibia mama!

Baada ya makelele kuwa mengi wakaona wampumzishe aje huyu name aendeleze mission!

Ukiwa kwenye kiti ni ngumu kujua nani anakuharibia au anakutengenezea!!

Hai jamaa ni wanausalama na wanajua vyote!
 
Back
Top Bottom