Double MK: Maulid Kitenge vs Masoud Kipanya

Double MK: Maulid Kitenge vs Masoud Kipanya

Bamileck

Member
Joined
Jul 26, 2021
Posts
26
Reaction score
39
Pamoja na umahiri wao redioni, kuna sehemu fulani katika maisha wanaitendea haki ipasavyo.

Je, ni sehemu gani iyoo
InShot_20240325_143314772.jpg
 
Ni Kwenye yale masuala ya kuoa Oa.

KATAA NDOA LINDA KIBUNDA CHAKO.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Kipanya ni smart sana, alafu pia anaonekana ni mtu poa sana.

Kwenye kundi lake namuweka na watu wengine, kama Jembe ni Jembe, Denzel Trainer, Waziri Salum.
 
Moja ya kipimo cha upeo wa mtu ni uwasilishaji wake wa hoja, kuanzia chaguzi ya maneno mpaka tone ya sauti.

Ukiwasikiliza wote wawili KP na Maulid Kitenge wakiwa wanajenga hoja hapo ndio utajua nani yupo vizuri zaidi ya mwenzie.
 
Katika watangazaji ambao sijawahi kuwaelewa kwa upande wangu wapo wengi na kitenge yumo.
 
Kwa uoaji wako sawa. Lakini mengine Masoud ni level zingine
 
Masoud ni ngoma nyingine kabisa, labda huko kwenye ndoa ndio wanaendana.
 
Back
Top Bottom