Akiweka na picha nafikiri itapendeza zaidi.Picha iko wapi?
Jaribu tena Mkuu!Nilipandisha naona ikaishia njiani
Wacha nijaribu tena
Nimeshakutumia kwenye pm yako mkuu!Mkuu naweza kukutumia whatsap ukanisaidia kupandisha?
Zinaishia 90%
Mkuu pichaVitanda ni vipya kabisa
Havijatumika kwani mradi umeishia njiani
Ukubwa ni 3.5*6
Vina magodoro yake mawili
Au unaweza ukanunua bila magodoro bei ni 200,000
Vikiwa na magodoro bei ni 300,000
Viko Chamazi
Viko vitano.
0755155782 utimiziwe hitaji lako.
Vitanda ni vipya kabisa
Havijatumika kwani mradi umeishia njiani
Ukubwa ni 3.5*6
Vina magodoro yake mawili
Au unaweza ukanunua bila magodoro bei ni 200,000
Vikiwa na magodoro bei ni 300,000
Viko Chamazi
Viko vitano.
0755155782 utimiziwe hitaji lako.
Wauaji wa Kibiti walikaa camp?Eleza vizuri vimetoka wapi Mkuu maana isije kuwa vilikuwa mali ya shule au vya camp ya wauaji wa Kibiti ikaleta kizaazaa kwa mnunuzi
Double decker, [emoji106] tayari nimeona picha mkuuYa fridge au ya double deka?