Sema ni huku Tanzania watu kupoteza watu ni rahisi Kwa wenzetu hao investigative journalist wanalindwa Kuna dada ni mwandishi kipindi chake Cha uchunguzi aisee huingia Hadi kwenye magenge hatari ya uhalifu na hufanya chunguzi, Kuna sehemu alienda Nigeria kwenye mafuta ya magendo nusu wamlipue.
So nika conclude bongo bado hatujafikia hyo level, na hata Jerry muro sijui ilikuwaje tu