situjadiriane
Member
- Jan 5, 2023
- 53
- 67
Mimi sijatuma na siwezi kutumwa na muamini ni mtu mtulivu mpole mnyenyekevu Hana Tamaa. Anajua kutunza Mali ya umma Wa Tanzania tuondoe unafiki huyu kijana nizawadi kubwa kwa Wa Tanzania Tumuombee viva Doto BitekoWe humjui Doto wewe.
Hata kama mnatumwa muwe mnaangalia kazi za kuchukua.
Hiki ndicho unachoweza kusema juu ya Waziri wa Madini Doto Biteko ni mwanasiasa mpole mtaratibu asiye na Tamaa ya madaraka na asiye na kiburi.
Ni mwanasiasa wa kutolewa mfano pamoja na kuongoza Wizara nyeti Maisha yake ni ya kawaida wakati mwingine tunakumbana naye kwenye daladala.
Ana heshima kwa wakubwa na wadogo. Hongera Rais Samia kwa kulea huyo kijana Doto Biteko
Nina hakika kati ya mawaziri corrupt top 3, huyu hawezi kukosekana.We humjui Doto wewe.
Hata kama mnatumwa muwe mnaangalia kazi za kuchukua.
Naunga mkono hoja, tena kwa geopolitics za siasa za nchi yetu, 2025 VC or PM mmoja ni lazima atoke Kanda ya Ziwa, hivyo we have started getting candidates!.
P
Inaonekana Huna uzalendo.mtu aliyejitolea kuwa mkweli na mwaminifu kama Biteko unapo mshutumu siyo mbingu Tu hata shetani anakushangaa. Siyo kila aliye Ccm achukiwe na kusingiziwa mtu achukumiwe kwa matendo yake. Huyo kijana ni musafiAu umeamua kumpigia kampeni au humfahamu.
Kama tunataka tuongozwe na watu wasafi, watu wanaochukia rushwa, wakweli wa nafsi na matendo, huyu kamwe hawezi kuwa na sifa ya kuwa kiongozi.
Kwenye gold rush zote ana mgao wake kupitia watu wake. Na ndiye mhamasishaji wa uvamizi wa leseni za watu kupitoa watu wake. Watu wake wana kibali cha kuvamia leseni ya mtu yeyote au kampuni yoyote.
😂😂😂😂 Kanda ya ziwa oyeeeNaunga mkono hoja, tena kwa geopolitics za siasa za nchi yetu, 2025 VC or PM mmoja ni lazima atoke Kanda ya Ziwa, hivyo we have started getting candidates!.
P
Ni VP (Vice President) na siyo VC, Paskali acha kuchanganya madesa!Naunga mkono hoja, tena kwa geopolitics za siasa za nchi yetu, 2025 VC or PM mmoja ni lazima atoke Kanda ya Ziwa, hivyo we have started getting candidates!.
P
Naunga mkono hoja, tena kwa geopolitics za siasa za nchi yetu, 2025 VC or PM mmoja ni lazima atoke Kanda ya Ziwa, hivyo we have started getting candidates!.
P
Pascal hukoseagiNaunga mkono hoja, tena kwa geopolitics za siasa za nchi yetu, 2025 VC or PM mmoja ni lazima atoke Kanda ya Ziwa, hivyo we have started getting candidates!.
P
Asante ndio nimeona na kusahihisha.Ni VP (Vice President) na siyo VC, Paskali acha kuchanganya madesa!
Kabisa,huyu hata kuishikilia hiyo nafasi ilikuwa ni majaliwa,tuulizeni sisi tulioko kwenye madini.Au umeamua kumpigia kampeni au humfahamu.
Kama tunataka tuongozwe na watu wasafi, watu wanaochukia rushwa, wakweli wa nafsi na matendo, huyu kamwe hawezi kuwa na sifa ya kuwa kiongozi.
Kwenye gold rush zote ana mgao wake kupitia watu wake. Na ndiye mhamasishaji wa uvamizi wa leseni za watu kupitoa watu wake. Watu wake wana kibali cha kuvamia leseni ya mtu yeyote au kampuni yoyote.
KwakweliNaunga mkono hoja, tena kwa geopolitics za siasa za nchi yetu, 2025 VP or PM mmoja ni lazima atoke Kanda ya Ziwa, hivyo we have started getting candidates!.
P
Duh!Kabisa,huyu hata kuishikilia hiyo nafasi ilikuwa ni majaliwa,tuulizeni sisi tulioko kwenye madini.
Duh!Au umeamua kumpigia kampeni au humfahamu.