Dotmund au Atletico Madrid kunamfaa Di Maria

Dotmund au Atletico Madrid kunamfaa Di Maria

Ziroseventytwo

Platinum Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
9,468
Reaction score
17,972
Atafit akijiunga na moja kati ya vilab hivi viwili.

1. Dortmond
2. Atletico Madrid

style yake ya uchezaji na aina ya uchezaji wa vilab hivi, jamaa atatisha. Aachane na man united, kwanza haichezi ucl. Hadhi yake kwa sasa c kucheza Fa, na caling cup. Ningekuwa mimi, ningechagua kati ya Atletico madrid au BvB. Ila c Man United.
 
Hawana mpunga.....hao ambao hawechezi UCL ndio wanazo kwa sasa
 
Hawana mpunga.....hao ambao hawechezi UCL ndio wanazo kwa sasa

hata yeye anao uamuzi wake. Kama man wana mpunga na yeye hataki kwenda huko watamlazimisha? Anauwezo wa kukataa na akaamua kubaki agombee namba. Ila dortmund pana mfaa.
 
Back
Top Bottom