Mwizukulu wa Buganda
JF-Expert Member
- Nov 19, 2024
- 638
- 1,771
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Ndugu Dorothy Semu amewataka Makamishna wa Tume huru ya Uchaguzi kujiuzulu ili kupisha mchakato wa kupatikana makamishna wapya kwa mujibu wa sheria. Hapa tulipo, makamishna waliopo ni aliyewahi kuwa msemaji wa CCM, ndugu Omary Ramadhan Mapuri.
Pia soma KWELI - Omary Ramadhan Mapuri aliyeteuliwa kuwa Mjumbe wa tume ya Uchaguzi amewahi kuwa Katibu Mwenezi CCM
Hatutaki kuona wanasiasa hasa wa CCM wakiwemo kwenye tume, tunataka tume yenye weledi, ambayo itakuwa tayari kuteletea uchaguzi wa huru na haki, itakuwa na makamishna ambao hawajaegemea upande wowote wa chama cha siasa.
Inawezekana hapa tulipofika, makamishna waliopo kwenye Tume wakajiuzulu na ukaanzisha mchakato huru wa kuwapata makamishna kama ilivyosemwa kwenye sheria ya Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025