Dorothy Semu: Hoja tofauti za Bwege tunazipokea

Dorothy Semu: Hoja tofauti za Bwege tunazipokea

Wont be the same

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,564
Reaction score
2,483
"Siku zote katika chama cha siasa tarajia kuwa na watu wenye hoja mbadala zenye nguvu, kutakuwa na watu wenye utofauti katika kuwasilisha hoja zao, kutakuwa na wenye kupinga kabisa mawazo ya chama na wengine kuja na hoja ambazo haziendani na misingi ya chama".

"Sisi tunaamini katika kumjenga, kumwelimisha mwanachama yeyote ambae mawazo yake yako mbali sana au tofauti sana na chama, Bwege (Selemani Bungara) tunamsikiliza na kupokea maoni yake kama mwanachama mwingine yeyote mwenye mawazo tofauti"-Dorothy Semu Kiongozi wa ACT-Wazalendo.

Soma Pia GE2025 - Bwege: Dorothy Semu alikataa kujitoa kugombea Urais kupitia ACT ila wakamlazimisha wakasema watamrudishia gharama zake
 
Back
Top Bottom