HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,702 Reaction score 48,146 Sep 11, 2014 #2 Huyo aliyevaa pundamilia katia fora
S SI unit JF-Expert Member Joined Feb 24, 2012 Posts 1,953 Reaction score 767 Sep 11, 2014 #3 looooooooooooooooooooooooooooooooooLEST
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,702 Reaction score 48,146 Sep 11, 2014 #4 Mlimbwende lazima kichwa kilimuuma sana hiyo siku
utafiti JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 12,783 Reaction score 7,675 Sep 11, 2014 #5 Huyo dogo na paka nimecheka sana
Viol JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 25,419 Reaction score 18,373 Sep 11, 2014 Thread starter #6 utafiti said: Huyo dogo na paka nimecheka sana Click to expand... katumbukia yeye badala ya paka,hehe
utafiti said: Huyo dogo na paka nimecheka sana Click to expand... katumbukia yeye badala ya paka,hehe
ndetichia Platinum Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,590 Sep 11, 2014 #7 Aisee hii ni noma ya stejini..
Viol JF-Expert Member Joined Dec 15, 2009 Posts 25,419 Reaction score 18,373 Sep 11, 2014 Thread starter #8 HARUFU said: Mlimbwende lazima kichwa kilimuuma sana hiyo siku Click to expand... inatia huruma,uliona ya bibi harusi?
HARUFU said: Mlimbwende lazima kichwa kilimuuma sana hiyo siku Click to expand... inatia huruma,uliona ya bibi harusi?
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,702 Reaction score 48,146 Sep 11, 2014 #9 Viol said: inatia huruma,uliona ya bibi harusi? Click to expand... Nimeiangalia tena ya bibi harusi ila haijaifikia ya dogo karibu na basi akifukuzwa na kuku mweusi, inachekesha sana
Viol said: inatia huruma,uliona ya bibi harusi? Click to expand... Nimeiangalia tena ya bibi harusi ila haijaifikia ya dogo karibu na basi akifukuzwa na kuku mweusi, inachekesha sana
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,702 Reaction score 48,146 Sep 11, 2014 #10 So you think you can dance Majaji wameshikwa na butwaa