Don't travel with wrong patners, it's too expensive


Hii story ni cut & paste ya kilichonitokea, ukiondoa minor edits za UDsm na Mlimani City na kwingineko. Tofauti ni settings tu. Masomo na malavidavi havichangamani kabisa. Nawashukuru sana marafiki zangu walionisaidia ushauri nasaha mpaka nikamaliza bila kukamatwa masomo, na sasa nadunda mzigo.
 
duu pole zake,nishaona pia kwa marafiki zangu kadhaa, nilichojifunza kutokana na matukio ya namna hii ni kuwa gals always ukishaanza process znazoonesha kuwa uko serious na yeye mfano kumtambulisha om basi anaanza kuibua makuu,cjui ndo wanakua wanamaliziamalizia kula ujana! Kuna mwingine naye alikua na beib wake mpk kwao kamtambulisha ila wakakosana kdg tu m.mke katafuta mchepuko akaishia kupata mimba kumbuka jamaa alikua anampenda mpk ashawah kunywa sum wakati wa magomvi yao. Wakaja kusameana lkn dem tayar alikua na kiumbe cha mtu tumbon na jamaaa hakuambia ukizingatia walikua wanasoma vyuo tofauti..kwa upande wngu my gal mpk kuja kutambulishwa wakti tbs imehusikaa sana otherwise..cjui
 
Honey inabidi unifunge alarm ukiniita tu nikurupuke kuja maana naona napitwa tu, wewe huoni saivi ndo nakurupuka mwenzio
Mmmh unakosaje utamu sasa, na we usilale sana bhana
Haya nenda kwenye ule Uzi wa mtu ambae Araki mwenyemimba yake apeweushirikiano humu
 
Aisee umeandika vizuri sana hongera sana pia ulichoandika kilinikuta matukio ni hayohayo kweli Mungu wa ajabu,sasa hivi nimepona ila imenigharimu sana.
 

Pole aiseee
 
Aisee umeandika vizuri sana hongera sana pia ulichoandika kilinikuta matukio ni hayohayo kweli Mungu wa ajabu,sasa hivi nimepona ila imenigharimu sana.


Pole sana mkuu...

Lakini mkuu next time, ukiona thread ndefu usii-quote, unatutesa sisi watumia simu
 
Mi nacheka tuu hapa...manake nikikumbuka mikasa....kirambasi chake kikubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…