Don't risk to destabilizing Rwanda-warns President Kagame

mkuu Talkandtalk don't waste your precious time on this dimwit..anajua kila kitu na anaelewa vizuri tu...2015 will be a very good year for us
You never know, 2015 might be a bitter year for you. Hakuna amani kama hakuna haki!
 
Last edited by a moderator:

1. FDLR is not a threat, it was formed as a defence force against RDF incursions into DRC kuua wahutu wakimbizi. Mauaji ambayo yako documented by the UN. Hapo ndipo wakimbizi hawa wakalazimika kuungana na ex-FARs kuunda wing ya FDLR yenye silaha. Kinachomtisha kagame ni kuwa hawezi kuwamaliza kwa mtutu kama alivyofanya pre-2000. Ni hicho tu.

2. Msimamo wa SADC na jumuiya nyingine ni ku-disarm FDLR ili kuleta amani DRC, sio kuvunja malengo ya FDLR kisiasa. Kwa hivi sasa hakuna sababu ya FDLR kuwa na silaha kwa sababu dunia nzima inamulika pale. The threat of being butchered by RDF imeondoka. Hivyo silaha zile hazina haja tena. Sidhani kama hilo maana yake ni kuwa FDLR imekatazwa kufanya siasa.

3. Ume-exaggerate kinachotokea Germany. Wale wa Germany ni viongozi halisi wa FDLR waliokuwa na kesi za war crimes in DRC toka 2008! Wanashitakiwa kwa ajili ya specific crimes ambazo FDLR wametuhumiwa kufanya DRC (war crimes) wala sio for just for just being members. Wanashitakiwa for ordering killings kutokea Germany dhidi ya majeshi ya DRC na Rwanda ambayo yalikuwa yanaungwa mkono na UN back then, hio ndio kesi. That's why hawa watu hawakuwa wamejificha huko, huyo mtu alikuwa anaishi under political asylum granted by the same gov of Germany since 2000 FDLR ilipoanzishwa. Kuna specific members mostly leaders wa FDLR ambao wako under sanctions na members wa kawaida. No body with a right mind supports any criminal activities za FDLR or any other group, but we all understand FDLR is a political problem, kama hilo ni kosa then i'm guilty as charged....alongside my fellow "interahamwe" jakaya kikwete!
Let me give you something to think about: kiongozi wa FDLR calixte mbarushimana alishitakiwa nchini Rwanda for genocide, akaja kutetewa na UN ambao walithibitisha kuwa jamaa alikuwa kazini as software programmer NJE YA RWANDA at the time. kesi ikafa kibudu! Rwanda bado wakafungua nyingine ICTR, ICTR ika-drop case! baadae wakaenda ICC for DRC crimes, ICC nayo ikatupilia mbali kesi.....kwa nini Rwanda isimtoe Laurent Nkunda naye aende mahakamani DRC na ICC tuone itakuwaje?


4. RDF ni jeshi la nchi, FDLR tena sio FDLR nzima bali the armed wing ni masalia ya FAR, hizo bunduki mpya wanazipata wapi? katika hao sijui 1500 how many of them walikuwapo 1994 wakipigana? And i don't remember anytime nimepost picha za FDLR wakiwa na silaha mpya, maybe you can provide a link to that effect. Ila FACT ni kuwa M23 had new weapons, new gears, new everything na waliviacha walipopigwa na Monusco (wakiongozwa na TZ:becky🙂 DUNIA NZIMA ILIVIONA. Since M23 were supposed to be rebels from FARDC, na FARDC wenyewe walishangaa kuona mitambo ambayo hawana where did these mere rebels get these weapons from?....Anyway this is pointless M23 is no more, na FDLR wanadisarm na wasipofanya hivyo tutawapiga mwezi ujao so lets leave it like that.

5. Kuhusu FDLR kuwa na "waajiriwa" hapo ndipo TATIZO KUBWA LILIPO. FDLR wanachodai ni kitu ambacho mtu yoyote anakubaliana nacho. Nacho ni demokrasia na haki ndani ya Rwanda. Huwezi kudai kusema hivyo maana yake "umeajiriwa" au "unapiga propaganda za FDLR". That is simply the truth, hakuna democracy wala haki ndani ya Rwanda. Ndio maana hata mtu ndani ya RPF akiongea tofauti na kagame atazushiwa kuwa na "links with FDLR". FDLR imekuwa ni kama fimbo ya kuchapia any critic of Kagame. Ndio maana kuanzia Kikwete, jacob Zuma, entire SADC, France, nyamwasa, rudasingwa, victoire ingabire....down to jmali wa JF mnatuita FDLR! hiyo FDLR ina nguvu gani ya kutuajiri watu diverse namna hiyo kwa wakati mmoja? Kukubaliana na FDLR kimtazamo wa baadhi ya mambo hakumfanyi mtu awe FDLR. Thats why wanapotaka kuzungumza sisi kama watanzania tunawasupport lakini wasipoweka silaha chini by the set deadline sisi hao hao tutawachapa.

6 Ni kweli wanyarwanda hawafuatilii JF, actually majority hawana access ya internet in the first place. Na hata hao walio na access na internet mostly wakiwa kigali pekee, hawaongei kiswahili. Wanyarwanda pekee humu ndani kama wewe, actually sio wanyarwanda AT ALL, bali watanzania wenye asili ya kitutsi, ambao somehow mnaona fahari kumtetea kagame kwa sababu ni kabila lenu. Mna chuki za jumla jumla dhidi ya wahutu kwa sababu wazazi wenu walikuwa forced to live in exile. You have no idea what kagame really is like, hamjafika hata huko Rwanda, kama mmefika mmeenda kama watalii because hamna hata ndugu vijijini kwa vile generations zenu nzima ziko Ngara na karagwe mkijiita wanyambo, wahangaza etc. Ukimpata mtutsi mwenzio original wa Rwanda ukampa uhuru wa kufunguka, wewe utamuita FDLR/interahamwe within two minutes! Thats why kizito mihigo, mtutsi ambaye kapoteza wazazi na ndugu kwa genocide in 1994 leo hii yuko jela for what? being FDLR! why? kwa sababu katoa mawazo yake kupitia wimbo!
The real banyarwanda ni kama hawa hapa kwenye hii video. sio nyie wanyarwanda wa Ngara na karagwe....sorry for makavu live!
 
Last edited by a moderator:
Onyesha kwanza uhusiano wa wakimbizi haramu na health care services accessibility maana hapo umeniacha hoi.

Uliposema hali ni mbaya mpaka . . . . Ulikuwa unajibu nini? ?!!!
 

Siku ipo na itakuja ambayo majority wa Wanyarwanda watahitaji kuiweka serikali ya inayokubaliwa na walio wengi.

Rwanda kwa sasa ni moto uliofunikwa kwa majani, hakuna future kwa Rwanda bila maridhiano.

Majority wa Wahutu hawapo happy, na huwezi kuwa na nchi ya majority hawapo happy na utawala alafu utegemee utengamano wa kudumu.
 
Ndugu yangu Anjo, binafsi najua sie watz tunaathirika kwa namna moja ama nyingine kunapokuwa na instability Rwanda ndio maana sikubaliani na jinsi kagame anavyohandle mambo. Hayo maneno aliyoyasema ni maneno ya kawaida kwa kiongozi wa nchi kuonesha jinsi alivyojizatiti kulinda nchi yake. Tatizo la kagame huwa anashindwa kujua ni wakati gani atumie vitisho na wakati gani asitumie. Mfano mtu yuko kwenye "National Dialogue Council" lakini anatoa statement ambayo anaondoa maana halisi ya Dialogue. Hivyo vitisho amekuwa akivitoa kila wakati lakini sidhani kama vinasaidia sana maana bado wanyarwanda wanaompinga nje ya Rwanda wanazidi kupaaza sauti. Kama ana ajenda ya kuwaua aendelee nayo hana haja ya kuongeaongea mara nyingi. Hata huyo kikwete ambaye anatukera ktk utendaji wake lakini bado ana busara maana alisema ile statement mara moja na kilichofuata ni operation kimbunga hajarudiarudia kuongea. Sasa kagame anarudiarudia vitisho mpaka inajengeka picha kuwa hana mbinu zingine isipokuwa vitisho.
 
nilikuwa najibu comment yako hii.

Sasa kama una re affirm kuwa social services mbaya zinapelekea hayo uliyosema correlation inapotelea wapi au accessibility na utilization sio aspects za social services??!!
 
Huu ubwege peleka kwa hater wenzako.
 
Nashindwa kuelewa watz tunfanya nini kushughulika na nchi ya watu wakati yetu yanatushinda.
 
Nashindwa kuelewa watz tunfanya nini kushughulika na nchi ya watu wakati yetu yanatushinda.

Dramaturgy mzee, iga yanayofaa na acha yasiyofaa duniani au unataka kuvumbua maisha mapya???!!!
Ulitakiwa uwe unapiga marimba, kinubi au hata ucheze bao lakini uko kwa net!!!

Kujilinganisha , kujipima, kuona wapi tunakosea au tunafanya nini vizuri. . . . . . . .Jirani kama sounding board!!!!
 
Kikwete was threatening kagame, that was a direct warning to kagame. lakini kagame is incapable of threatening another country labda kwa kujifurahisha tu, kagame threatens kayumba nyamwasa, FDLR and the many diasporas who are fighting him day and night using media, internet etc, they are opening up eyes of Rwandas and he's afraid in the future a revolution might happen in Rwanda. kuna wanyarwanda wengi nje ya rwanda wanaopambana naye kwenye mitandao kuwaconvince raia waishio Rwanda kuwa courageous na kumtoa madarakani au kuwapa sapoti wapinzani.
 

Ndugu Kibona,
Nashukuru kwa tafakari yako.
Binafsi nimejaribu kutaka kujua zaidi kuhusu hiyo hotuba ya Kagame ila kinyarwanda kimetumika zaidi na siifahamu hiyo lugha.
Ila nadhani kila tamko linategemea kilichoulizwa au kujadiliwa.
National Dialogue ina maana ya maongezi au majadiliano ya kitaifa. Na bila shaka Rwanda haiwezi kujadili maswala ya kitaifa kiusalama bila kujadili maswala ya vita na FDLR. Mfano, Rais Obama hawezi kujadili usalama wa USA bila kuongelea al-qaeda au ISIS kwa sasa.
Mimi nisingependa kuunga mkono upande wowote ila najadili mantiki ya uwepo wa mijadala mingi kuhusu Rwanda ndani ya forum yetu pamoja na kwamba Rwanda ni nchi jirani na kwa namna moja au nyingine matatizo yao yanatuathiri.
Point ni kuwa tumeshuhudia matusi ya watusi na wahutu humu ndani pindi wanapojadili issues zao. Badala ya ku argue wanaenda mbali na matusi mengi.

Uhutu au utusi si dili. Sisi tuna makabila zaidi ya 120 na bado tunaishi kwa kistaarabu na chaguzi zetu mara zote zimewaweka kwenye uongozi watu wanaotoka makabila madogo ila wakichaguliwa na watu wengi. Wao bado wanajadili MAJORITY Vs MINORITY kikabila. Tumeshuhudia hata viongozi wetu walio wajinga wakizungumzia Rwanda kwa vigezo kama hivyo. Huu ni "ujinga". Na hapa ndo natofautiana na akina Mukama... au jMali wanaojadili kikabila.

Wananchi tunataka uongozi usiogonganisha watu bali kuwaunganisha. Kuongea ukabila karne ya 21 ni sawa na Baba anayembaka binti yake.
Tuaombee hawa wanyarwanda watazamane kwa uti na si ukabila. Awaonyeshe yaliyo mema kwa kila upande badala ya kuona wenzao kutoka upande hasi (negative side).
Anjo
 
Duh, aka kajamaa katakufa kwa mawazo. Kila siku mikwala haiishi. Kanaangaika kweli.
 
Nadhani imefika wakati tuwaachie wanyarwanda waendeshe nchi yao, kwa style yao wenyewe. Wakizichapa tusiwasaidie kama 94 bali tuwaachie wa solve matatizo yao wenyewe. Tunajiumiza vichwa wakati tuna matatizo yetu kibao.
 
ahahah...wewe mkabila kweli..yani katika fikira zako kwa kua serikali inaongozwa na mtusi basi wahutu wote hawaikubali?we mbumbumbu kabisa..kwani hiyo serikali ya kikwete ukisema watu wapige kura bila wizi anaweza shinda??kwa taarifa yako wanyarwanda wengi wanamkubali pk na alicho sema nikweli kabisa na kama unabisha jaribu hakuna haja ya kuandikia mate..mkonkoto uko palepale..chokoza upigwe na hakuna huruma kwa yeyote yule anayetaka kuleta ujinga dhidi ya rwanda huyu ndiye kiongozi anayelinda wananchi wake.
 
Nilishakwambia sijibizani na mataahira, tafuta size yako mie ni oversize kwako.

Hiyo miwani mibovu ya 1800s with your cheap suit is self explanatory...you look like a clueless headmaster mnoko wa shule ya Kata.
 
Wewe ni mnywarwanda 100% mliokimbia 1994 baada ya kufanya genocide,wewe or one of your family mnatafutwa na international community au mko jela kwa mauaji mlliyofanya against Tutsi,and you have no any business of calling yourself Tanzanian because you are not..hakuna mtanzania hating Rwanda like you and to your credit seems you know a lot about Rwanda more than anybody though is all lies,hating and BS propaganda.
 
kitu cha ajabu, wewe unayeongea ulikuwa mkimbizi ukakimbilia tz wakati wa kibano huko kwenu mfulukyunyozini kigali. umeishi tz upepata makazi hapa, chakula na choo ya kujisaidia, ukaenda shule na kujua hata kiswahili, umekua umerudi kwenu unawatukana watanzania. hii ndio inafanya dunia nzima ione watusi ni watu ambao sio wa kuwaamini wala kushirikiana nao. imagine, if today rwanda kikinuka tena, mtakuja tz wakati kwa sasa moja ya adui namba moja ya rwanda ni tanzania? na mmeguko wa uhusiano kati ya watz na wanyarwanda ambao kagame amesababisha hautakuja kuisha kamwe, na bahati mbaya its not more of tz risk, nyie ndio mtapoteza zaidi kuliko sisi.

operation kimbunga isingefanyika kama wasingekuwepo watu kama wewe rwanda, zaidi ya wanyarwanda 6000 walikuwa sacrificed kwasababu ya midomo michafu kama ya aina yako tu. comment ambazo ninyi mnazifanya zinasomwa na watz wote wa kawaida hadi viongozi wetu wa juu na hatred kati ya wanyarwanda na watz inazidi kuongezeka siku hadi siku. kuna siku mtakuja kutafuta sehemu ya kukimbilia kwasababu nakupa miaka 5 ijayo, kama kagame hatakuwa ameondoka madarakani, basi wahutu na watusi wa rwanda wataungana kumwondoa kinguvu na ikipidi kwenda msituni wakisaidiwa na tz, south africa na congo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…