Don't promise!

Don't promise!

Thank u sana
Pole sana, it happens to almost everyone.
Kaa jipange upya, usitake furaha yako itoke kwa mtu mwingine, furaha yako itoke kwako mwenyewe kitu kama hiki kikikutokea tena utaweza ku-move on very quickly. Tafuta hobby au kama una kazi concentrate fanya, be the best you can be utakutana na watu even better utakuja kushangaa huyu ulikua unampendea nini. Fanya mazoezi kua sexy. One thing proven again and again to heal a broken heart ni self improvement, hakuna better way kama kuhit gym

time will tell
 
Kwanini tusipromise wakati nanyi mnataka hivyo..?

Sometimes we promise lkn mnakuja kuharibu mambo nyie wenyewe!..
Halafu wanaume wote hatupo hivyo wengine tunatoka kwa bwana wa majeshi..
kama umetoka kwa bwana wa majeshi hutakua na tofauti na wale, ila kama ni BWANA/Bwana wa Majeshi basi utakua tofauti
 
qvee inua kichwa juu kisha tazama angani , tazama mawingu, tabasamu na.mwisho useme maneno haya "Asante Mungu kwa kunipa Fursa nyingine ya kuishi kwa Amani". Unaumia ? Yaan unaumia wakati wewe ni bonge la mwanamke? Mzuri wa sura mpaka umbo , embu tazama ulivyojaa miguu vzuri, tazama hips zako zenye kuvuta, embu jitazame , jitazame mbele yakioo .

Usikate tamaa, tambua kua mahali fulani kuna mtu anakupenda kwa vile ulivyo ..furahii mama, furahiii kabisaa, achana na mpuuzi huyo ambaye kiuhalisia angekutumiaaa weeeeeeee akaja kukuacha tayari 'umri wa thamani ukiwa umepita na pengine hata angekuzalisha na kukuacha".

Achane naye, ruhusu kila kitu kisepe, futa namba zake moyon mpaka akilin , futa kila kitu , ondoa vyote vinavyoweza kupa kumbukumbu yake .

Be strong ,maisha hayajawahi kua mepesi !!.
 
Sema nahumu uwe makini

Usije angukia kwa.mabaria tu wakachapa ikalala.

Naelewa fika, hamna kipindi kirahisi cha kumpata mwanamke hasa wakat ambao ametoka kuumizwa na bwanake.

Sasa naweee usiruhusu huo udhaifu ukuangukie nawewe !!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hukujua kwamba everything fade

hukujua pia people change

je vp kuhusu even the greatest fall and fail

pole sana mkuu ss wanaume huwa hatunuwii kamwe kutoka moyoni hvo viapo au ahadi
Nimekuelewa Hata Mleta Mada Kwa Huu Uzi Ataelewa
 
Pole sana, it happens to almost everyone.
Kaa jipange upya, usitake furaha yako itoke kwa mtu mwingine, furaha yako itoke kwako mwenyewe kitu kama hiki kikikutokea tena utaweza ku-move on very quickly. Tafuta hobby au kama una kazi concentrate fanya, be the best you can be utakutana na watu even better utakuja kushangaa huyu ulikua unampendea nini. Fanya mazoezi kua sexy. One thing proven again and again to heal a broken heart ni self improvement, hakuna better way kama kuhit gym
Nakazia👏👏
 
Uu uzi ume tugusa wengi kabsa ila sio case kesho tutaamka tume sahau yote

Dark Side
 
Pole kwa changamoto,We kama mwanamke ulikuwa unanafasi kubwa ya kumshawishi aishi na wewe kama ungeutumia vizuri uanamke wako. Pia maisha ya uhusiano ni vita,unawezakuwa kwenye uhusiano huku wengine wakipiga nyungu nje.
 
Pumzika kipindi hiki kigumu. Ukitaka liwazo njoo pm muda wote ipo wazi
 
Pole kwa changamoto,We kama mwanamke ulikuwa unanafasi kubwa ya kumshawishi aishi na wewe kama ungeutumia vizuri uanamke wako. Pia maisha ya uhusiano ni vita,unawezakuwa kwenye uhusiano huku wengine wakipiga nyungu nje.
Amekiri kuwa anampenda huyo aliezaa nae. Japo alinidanganya kuwa hana mawasiliano nae na hawez kumuoa. Bt mambo yaliyojiri mpk sielewi alikuwa na nia gani

Huwezi kumbadilisha mtu unless aamue kubadilika mwenyewe na Ukijiforce sana anaweza kukuigizia kwa muda ila baada ya muda unawekwa kando. Haya maisha ni kuangalia tu mwenye unafuu maana ukamilifu haipo
 
ahadi za ndoa hapana uo huongo siwez sema. mtu kila siku anakuuliza so unampango gan na mm du naishia weka airplane mode tu
 
Amekiri kuwa anampenda huyo aliezaa nae. Japo alinidanganya kuwa hana mawasiliano nae na hawez kumuoa. Bt mambo yaliyojiri mpk sielewi alikuwa na nia gani

time will tell
Ulivyoona hivyo,pale mwanzoni ulitakiwa uarakishe ndoa;ila kwa sasa muache yeye aendelee na maisha yake huku na wewe ukitafuta wa kwako,na ukimpata usimcheleweshe.
 
Huwezi kumbadilisha mtu unless aamue kubadilika mwenyewe na Ukijiforce sana anaweza kukuigizia kwa muda ila baada ya muda unawekwa kando. Haya maisha ni kuangalia tu mwenye unafuu maana ukamilifu haipo
Kweli mkuu,ila angeweza kuingia ndani mambo mengine yangejipanga tu;mbona wengine tumeoa lakini bado tunagonga za nje,huku ndoa zetu tukiziheshimu.
 
Back
Top Bottom