Don't promise!

Don't promise!

Sio kila mahusiano lazima yafikie kwenye ndoa, wakati mwingine mahusiano hata kuzaa ni kama tuisheni ili kufikia kwenye ndoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli mkuu,ila angeweza kuingia ndani mambo mengine yangejipanga tu;mbona wengine tumeoa lakini bado tunagonga za nje,huku ndoa zetu tukiziheshimu.
Ila kuzaa ni tofauti na mishe za nje. Watu wakishazaa pamoja wanakuwa na bond ambayo ni kama hamuachani. Hata wewe ungeoa mwanamke mwenye mtoto bhasi mahusiano yenu yangekuwa ya watu watatu hadi mmoja atangulie mbele za haki mkuu
 
Kweli mkuu,ila kwa huyu mleta mada angekubaliana na hayo yote iwapo angetangaziwa ndoa....sasa ndoa hajatangaziwa zaidi ya kuambiwa aendelee na maisha yake
 
Pole, inaonekana ulimpenda sana ila ndio hivyo mambo hayakwenda vile ulitarajia.... Ni kawaida kwenye maisha
Inabd kukubali ukweli na kujikaza umove on, kitu naweza kukushauri kama binti mwenzangu ni kwamba no matter what, usilazimishe penzi/mtu akupende.

Kama anakupenda utaona tu na wala hutatumia nguvu nyingi kumshawishi aendelee kuwa na wewe haijalishi anakupa ahadi au la, matendo yake yataongea.
 
Sheria namba 1 ya katiba ya mabaharia ni "Singo maza haolewi"

Sent using Gun Trigger
Anachomaanisha kaachwa yeye baharia karudi kwa mzazi mwenzie tena huyo mwanamke ni aged compared to mwamba
 
Kweli mkuu,ila kwa huyu mleta mada angekubaliana na hayo yote iwapo angetangaziwa ndoa....sasa ndoa hajatangaziwa zaidi ya kuambiwa aendelee na maisha yake
Ndoa sio mafanikio lakini maana kuna wenye ndoa lakini wanajuta maana zimewacost amani hadi mafanikio. Sasa huwezi jua angeweza kuolewa lakini baby mama drama ikamfanya ajute hata kuolewa. Ashukuru ameona mapema na amove on tu
 
Back
Top Bottom