Jamani katika maisha tusipende kutoa ahadi ambazo hatuezi kutekeleza. Tusipende kusema uongo. Just imagine unamuahidi MTU kutwa utamuoa eti hutokuja kumuacha, bad enough unafanya kila uwezalo umuaminishe mtu. Akati unajua huwez kufanya Yale unayoahidi
Siumii kwa sababu nimeachana nae ila kila nikikumbua ule uongo nabaki kuumia, wanaume mliozaa muwe wakweli... Niliambiwa kuzaa na mtu sio ndoa eti kazaa nae tuu na hawez kumuoa kisa kamzidi umri.
Cha ajabu Leo mtu na mzazi mwenzie wanaungana kunipaka shombo, inauma, kudanganywa kunauma sana
NB: Sio kwamba wameoana, walizalishana pindi wapo chuo wanasoma
Time will tell