Kweli mkuu na hii ndo inafanya wengi wetu tunaishi maisha ya shida na yalojaa taabu na mateso makubwa.Kujua natural ability yako ni moja ya sehemu muhimu ya kujitambua.
Wengi humu ukiwauliza natural talent zao ni zipi hawazijui mpaka wanazeeka nazo.
Ni hasara kubwa sana
Ni kweli kabisa kwasababu wanatumia nguvu kubwa na kufanya mambo kwa ugumu wasiyoyaweza.Kweli mkuu na hii ndo inafanya wengi wetu tunaishi maisha ya shida na yalojaa taabu na mateso makubwa
Tushikane mikono ili tuinuaneNi kweli kabisa kwasababu wanatumia nguvu kubwa na kufanya mambo kwa ugumu wasiyoyaweza....
mbona na ww huwa una copy mabandiko ya wana na tunakusitiriNikuombe tu ukianza kuja na 'Articles' zangu juu ya unachotaka Kukileta hapa usisahau pia kuwaambia 'Members' hapa kuwa 'Maudhui' yako yote unayatoa katika Kitabu chenye 'Title' ya 'Core Genius' pekee sawa? Wengine tuna 'Utundu' wa Kugusa vitu vingi na Kusoma 'Publications' nyingi na ulivyokuja tu na hii haraka sana nikajua unaenda kufanya tu 'Copy' and 'Paste' ya kilichomo ndani ya Kitabu hicho tajwa cha 'Core Genius' tu. Kila la Kheri!
Kwa ufupi mimi sio msomaji mzuri wa vitabu na wala hicho kitabu sikijui sema natumia tu Idea nilopata toka chuo kikuu. Kwasababu nimesona kozi za biashara kuhusu jambo nililolizungumzia ni jambo la kawaida hasa kwa mtu aliyeweza kuhudhuria kwenye kozi husika. Hivo madai unayotoa juu ya kitabu chako si ya kweli na yakupuuzwa . Fatilia thread zangu nyingi utagundua mimi sio wa kawaida ni Mtanzania ila uwezo wa akili nilionao sio wa nchi hii.Nikuombe tu ukianza kuja na 'Articles' zangu juu ya unachotaka Kukileta hapa usisahau pia kuwaambia 'Members' hapa kuwa 'Maudhui' yako yote unayatoa katika Kitabu chenye 'Title' ya 'Core Genius' pekee sawa? Wengine tuna 'Utundu' wa Kugusa vitu vingi na Kusoma 'Publications' nyingi na ulivyokuja tu na hii haraka sana nikajua unaenda kufanya tu 'Copy' and 'Paste' ya kilichomo ndani ya Kitabu hicho tajwa cha 'Core Genius' tu. Kila la Kheri!
Weka hapa JF huo mfano wa 'Mabandiko' ambayo huwa 'nakopi' kutoka kwa Watu tafadhali. Mimi huwa naanzisha Wengine wananifuata fuatilia tu.mbona na ww huwa una copy mabandiko ya wana na tunakusitiri
kwani unateseka