Don't miss the show[emoji23]

Prof Alhaj Mussa Assad keshamaliza kazi. Kawaambia maneno kama udhaifu (weakness) ni ya kawaida mno kwenye fani ya Uhasibu. Sasa wapi kamati iliyojaa vilaza itaweza kupambana na Professor?
 
Prof Alhaj Mussa Assad keshamaliza kazi. Kawaambia maneno kama udhaifu (weakness) ni ya kawaida mno kwenye fani ya Uhasibu. Sasa wapi kamati iliyojaa vilaza itaweza kupambana na Professor?
Ni sawa na kuongelea kesi iliyoko mahakamani, kavuruga ushahidi na kuwa pre empty

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…