The fact kuwa anawaza kucheat ujue mumewe hayko moyoni.
Mkunde Original, shughulikia matatizo ya ndoa yako. Manake huna uzoefu alionao mumeo, utaishia kupata ukimwi.
yeyote mwenye mke dar aliyesafiri kuja huku arusha kikazi kwa wiki moja.....kaa chonjo
Nakumbuka tu soga zake...she was a friend hapa jamvini...
Sijui kabila lake wala her marital status wala hilo la watoto...
Ila kama anakusoma kama guest bila shaka atayaona haya maswali
Mungu akuepushe na hiyo dhambi....amina
CHEATING IS A CHOICE NOT A MISTAKE..mungu akuzidishie moyo huo huo wa ujasiri..
Ooh thr you're besti...at least leo umekutana na pacha wako Mkunde Original....
Umenena vyema, ubarikiwe
Jamani kumbe am a friend nimejikuta natabasamu, sikuwa najua mie nilijua naboa thanks friend.
Mkunde O mie ni chotara wa kinyamwezi na kibondei, nimeolewa japo na misukosuko ya ndoa nina watoto 3, mungu akijaalia mwaka 2015 natimiza miongo 2 ya ndoa. MKunde ni pm popote ulipo tuotete kidogo.
Am here best we menambia nilienda kuchimba magimbi kijijin? Hapana bana nilizubaishwa na Obama nikabwaga nyumba yangu ila sasa nimerudi siraki tena kurudia makosa natulia tulii nyumbani kwa mume wangu nalea mume na familia. Huyu pacha wangu tunawasiliana kwa pm nataka nitete nae kidogo kabla sijapotea tena humu.
Jamani kumbe am a friend nimejikuta natabasamu, sikuwa najua mie nilijua naboa thanks friend.
Mkunde O mie ni chotara wa kinyamwezi na kibondei, nimeolewa japo na misukosuko ya ndoa nina watoto 3, mungu akijaalia mwaka 2015 natimiza miongo 2 ya ndoa. MKunde ni pm popote ulipo tuotete kidogo.
Huyo kibosile ndo amekuita mie akuu sijakuita kabisa na hata nimeshangaa amekuitia nini au amekumiksi na mtu mwingine au nae ameshaanza kula bangeee??? Ila natamani kuonja.................
Habari zenu wote,
Lengo la kuja hapa mnisaidie kufanya maombi/ kusali nisi-cheat. Niko arusha kikazi (semina)kwenye hoteli moja maarufu mjini, sasa nimekutana na mtu ambaye tululikuwa lovers wakati niko chuo. Tuliachana bila ugomvi ni kukatika kwa mawasiliano tuu kwani yeye alienda nje ya nchi kufanya masters. Sasa wiki yote hii nimekuwa nikimkwepa na kesho ndo narudi Dar, hapa kanishikia bango tukumbushie, roho I radhi kutoku-cheat ila mwili u dhaifu.
Ubarikiwe kwa kuniombea.....
Usiku mwema.