Mkunde Original
JF-Expert Member
- Jul 20, 2013
- 807
- 647
fikiria kwa kutumia akili yako na sio moyo wako. Huyo jamaa anakutaka kwa kuwa uko na mwengine. Ukimwambia umemwacha jamaa yako na unataka uwe nae kimoja angalia atakavyotoka nduki.Habari zenu wote,
Lengo la kuja hapa mnisaidie kufanya maombi/ kusali nisi-cheat. Niko arusha kikazi (semina)kwenye hoteli moja maarufu mjini, sasa nimekutana na mtu ambaye tululikuwa lovers wakati niko chuo. Tuliachana bila ugomvi ni kukatika kwa mawasiliano tuu kwani yeye alienda nje ya nchi kufanya masters. Sasa wiki yote hii nimekuwa nikimkwepa na kesho ndo narudi Dar, hapa kanishikia bango tukumbushie, roho I radhi kutoku-cheat ila mwili u dhaifu.
Ubarikiwe kwa kuniombea.....
Usiku mwema.
[video=youtube_share;ar7DriakfOw]http://youtu.be/ar7DriakfOw[/video]Habari zenu wote,