Donn Nimegeuzwa ATM

Mapenzi hujifunzi bana, bali twazaliwa nayo automatic ila mazingira na hali ya kidunia ndio inavuluga mipango, mie nayajua, leo jion nitakupitia tutoke out

Mapenzi ni sanaa na sanaa hufundishwa..
Kutoka na wewe itakuwa ngumu labda omba ruhusa kwa stevoh kwanza
 
Last edited by a moderator:

Pole Donn mpe tu bana... Pesa makaratasi!!!
 
Last edited by a moderator:
pole sana ndugu yangu kwa yaliyokukuta hata wewe wa mjini nawe ushageuzwa ATM pole sana yaani hata namba umetoa kwa ........................ makubwa haya basi heeeeeeeeee yamekupatabest
mmmh... Hapo tu ndo twapishana... we namba yangu si unaijua nitumie ss na ww
 
Mlete hapa tumfundishe kuchuna. Wenzie tunachuna kwa atyle ya mchunwaji kujileta kama mbwa alieona chatu!
 
Mlete hapa tumfundishe kuchuna. Wenzie tunachuna kwa atyle ya mchunwaji kujileta kama mbwa alieona chatu!

hapo mi ndo nakupendaga, nakuja kesho asubuhi uanze kunichuna mpnz
 
Mwizi wa mapenzi nimemtukia. mia
wakikusumbua sana nambie nikupe dada yangu Dena Amsi akutoe shombo la uchumba hewa. katulia sana tena hana makuu. ana roho ya kibinadamu. mia
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…