JosephElly
JF-Expert Member
- Jun 5, 2012
- 2,432
- 1,035
- Thread starter
- #21
dah.. hayo maswala ya kujipanga kimtindo huu mi ndo siyataki... nijipange ili aje achukue kiulaini?:lying:Ha ha ha..Ni kujipanga tu..Inawezekana
dah.. hayo maswala ya kujipanga kimtindo huu mi ndo siyataki... nijipange ili aje achukue kiulaini?:lying:Ha ha ha..Ni kujipanga tu..Inawezekana
nisome nini sasa mpendwa? mi huyu mutoto inanipa mimi conkasheni kabisaBepari hakaukiwi..
Kama umeshindwa mapenzi basi soma kwanza.yatafuata badae
nisome nini sasa?Bepari hakaukiwi..
Kama umeshindwa mapenzi basi soma kwanza.yatafuata badae
nisome nini sasa?
we.. unanirudisha shule tena? mbona wanirudisha hatua nyuma mpendwa? umri huu unataka niwe kidato gani sasa?
Mhhh. kazi kweli..lkn hii imekaa kichitchat zaidi
ah ah! Huko mmu usiwe unaniita bana, mimi ni wa hapa hapa, mambo yenu ya ma love mie akuu..!
Nilitaka uyasome na kuyaelewa yale maneno ni ya msingi sana.rejea mazungumzo yetu mapema leo.
Mwizi wa mapenzi nimemtukia. miapole sana mdogo wangu. Ukiona hivyo kimbia!. wezi hao!. mia
Ukweli hua sisomi vitu vinavyo husiana na mapenzi na ndio maana huwezi nikuta huko bana, asante kwa kunikumba
haya bana.lkn uwe unasoma ujifunze kitu
imeanza kupoa mpendwa.. najua keho kutwa itapoa kabisaaaKweli mjini pesa, mapenzi......pole