Bikira Yangu
Member
- Jun 7, 2016
- 28
- 72
"Nina miaka 25 niko kwenye siasa.Wakati tunapambana kwa ajili ya Watanzania miaka hiyo yote hatukuwahi kuwa na posho.Kipindi hicho kina Tulia walikuwa shule ya msingi"
Source: Mh Mbati, James
Mbatia kichwa sana.
Ni mwanasiasa wa kweli mno.
PoshoTulia sijui yupoje yule. Kwanini akubali kutumika kijinga namna hii
Mbatia kasema ukweli huyo tulia ni juzi kaingia kwenye siasa na bado hajazifahamu vizuri siasa"Nina miaka 25 niko kwenye siasa.Wakati tunapambana kwa ajili ya Watanzania miaka hiyo yote hatukuwahi kuwa na posho.Kipindi hicho kina Tulia walikuwa shule ya msingi"
Source: Mh Mbati, James
Lkn kuna watu bado wana mbeza hasa kutoka kambi ya lumumba kisa kamgusa mteule wa ikuluMbatia kichwa sana.
Ni mwanasiasa wa kweli mno.
wakati huo Tulia alikuwa kidato cha kwanza mwaka 1991.Ni kweli. Sina taarifa sahihi but nadhani Mbatia 'alitimuliwa na Mwinyi' pale UDSM mwaka 91 baada ya kutokea mgomo wa wanafunzi, mbatia akiwa raisi wa serikali ya wanafunzi.
Ukawa tunasema utaifa kwanza yeye anasema tumbo kwanzaTulia sijui yupoje yule. Kwanini akubali kutumika kijinga namna hii
Yule mbunge dogo WA morogoro wabunge Wanawake WA kuteuliwa aliwaitaje vileeeNafikiri hili dongo alipaswa kujipa mwenyewe yeye Mbatia kama miaka 25 yote bado anasaga lami tu mwenzake aliyekuwa Shule ya msingi leo hii Naibu Spika namba 3/4 Baada ya raisi, Naibu Spika Tulia ana uwezo wa kukabidhiwa Kuongoza nchi iwapo dharura ikitokea, hivyo kama ningekuwa Mbatia ningetafuta kingine cha kufanya kama miaka yote hiyo lkn hakuna chochote ulichofanikiwa, kama ni chama hata Wabunge wawili hakina!
Mkuu una maana kuwa kichwa kizuri katika siasa lazima uwe na cheo kikubwa??Mbatia Angekuwa kichwa chama chake kingekuwa na mbunge mmoja tu ambaye ni yeye?
Miaka 25 yuko kwenye siasa bado mbunge hajawa hata makamu wa Raisi au waziri mkuu au naibu spika?.Ni aibu.Tulia kaanza juzi tu leo naibu spika wa bunge.Yeye Mbatia miaka 25 Hajui hata unaibu spika unafananaje anangoja Tulia amwonyeshe kidole kuwa haya babu uliyekaa kwenye siasa miaka 25 chama chako kikiwa na mbunge mmoja ongea!
Nadhani una mtindio wa ubongo, yaani mbunge tena wa kuchaguliwa na kura za wananchi bado unamuita msaga lami?Nafikiri hili dongo alipaswa kujipa mwenyewe yeye Mbatia kama miaka 25 yote bado anasaga lami tu mwenzake aliyekuwa Shule ya msingi leo hii Naibu Spika namba 3/4 Baada ya raisi, Naibu Spika Tulia ana uwezo wa kukabidhiwa Kuongoza nchi iwapo dharura ikitokea, hivyo kama ningekuwa Mbatia ningetafuta kingine cha kufanya kama miaka yote hiyo lkn hakuna chochote ulichofanikiwa, kama ni chama hata Wabunge wawili hakina!
Nafikiri hili dongo alipaswa kujipa mwenyewe yeye Mbatia kama miaka 25 yote bado anasaga lami tu mwenzake aliyekuwa Shule ya msingi leo hii Naibu Spika namba 3/4 Baada ya raisi, Naibu Spika Tulia ana uwezo wa kukabidhiwa Kuongoza nchi iwapo dharura ikitokea, hivyo kama ningekuwa Mbatia ningetafuta kingine cha kufanya kama miaka yote hiyo lkn hakuna chochote ulichofanikiwa, kama ni chama hata Wabunge wawili hakina!