Dondosha Maujanja hapa

Nyigana

Senior Member
Joined
May 5, 2012
Posts
106
Reaction score
12
Samahani wakubwa,
Kama yeyote aliyewahi kununua product yoyote E-BAY na akaipokea hapa bongo naomba anipe utaratibu kuhusu shipping method na wapi pa kupokelea na nama ya kulipia bidhaa.
 
Ukinunua bidhaa iwe E bay ama Amazoni, katika shipping usikimbilie the cheapest option ama Free shipping option, utajuta. i learnt the hard way.

kitu cha kufika in two weeks kitakaa zaidi ya mwezi hapa nilipo nasubiria Casio hardlex watch haijaingia hadi sasa. vingine vimeingia ila vimechelewa zaidi ya mwezi. ni bora ulipie expediate shipping kuliko free shipping method.

niliinunua tablet ya amazon,hdx in 4 days nikawa nimeipata ingawa shipping ilini cost 50usd, ila sio mbaya mali yangu ilifika safe and sound
 

Na mkinunua vitu kama simu,ipad,nk akikishine viwe vina logo ya kampuni kama vodafone,tmobile,t&t n.k kwa sababu wachina na wahindi wamevamia soko wanauza vitu fake vya kichina,especially simu na ipad ambazo zimefunguliwa. KUWENI MAKINI

Sent from my BlackBerry Q10 using JamiiForums
 
Samahani wakubwa,
Kama yeyote aliyewahi kununua product yoyote E-BAY na akaipokea hapa bongo naomba anipe utaratibu kuhusu shipping method na wapi pa kupokelea na nama ya kulipia bidhaa.

Ukiagiza kitu cha bei kubwa sana afu ikatokea huyo seller hakuwa genuine basi hata ukifungua case ukashinda na hela yako ikarudishwa hautokaa uione kwenye bank statement na itakywa imekula kwako

Mm nilipewa refund ya 530$ mpaka leo hii naongea nilitoka CRDB lkn bado nazungushwa naambiwa ntakuwa nimetapeliwa

Ilu kukwepa hii hadha fungua acc ya Banc ABC wakuoe cash card that very day unapokea refund that dei unaendelee kuitumia hela uliorudishiwa

FUC* CRDB

WATCH OUT
 
kabla ya kununua kitu,someni customer review inasaidia kujua hicho kitu kama ni quality.maana sometimes ukiona kitu kwenye screen na ukikiona live ni tofauti.
 
kabla ya kununua kitu,someni customer review inasaidia kujua hicho kitu kama ni quality.maana sometimes ukiona kitu kwenye screen na ukikiona live ni tofauti.

customer review winging wanakuwa gang wanawekea review, za bongo! me nimeshalizwa kama mara 3 seam si unajua mako ya kulipa na paypal wanakurudishia pesa yako, sema hao wengine wanaotumia CRDB ndio issue, kwa kweli wizi ni mdogo ingawa nimelizwa mara 3 lkn nimenunua vitu zaidi ya mara 200 Bila matatizo yoyote
 

Mnapokelea wapi?
 
Hahaaa
Nimeshaanza kuwaamini niliowahi kuwasikia wakisema kuwa ukiona Mzungu anamfungulia mkewe/mpenzi wake mlango ujue ni mapenzi hayo, lakini ukimuona Mwafrika anamfungulia mkewe/mpenzi wake mlango ujue huo mlango ni mbovu!!

Hahaaaaa...either gari mpya, au demu ndo brand new
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…