Dondosha coment ya season kali uliyowahi kuiona

Dondosha coment ya season kali uliyowahi kuiona

Roger Ramer

Member
Joined
Feb 4, 2017
Posts
34
Reaction score
15
Niadje ndugu unaesoma Uzi huu kwa wakati huu?.. Wakorea wanasifika sana kwa utunzi mzuri wa story ktk season zao. Je ni season gani kali uliyowahi kuitazama ukaipenda? Tutajie jina la season yoyote ile uliyoipenda iwe ya kichina, kikorea au hata ya kizungu na ni kwa nini umeipenda season hiyo. Ahsante.
 
iron empress inareflect maisha halisi ya watu na vile umoja unaweza kuwa nguvu katika ushindi, pia kunanyingine ka
The flower in prison, empress Ki, n.k
 
NI SERIES MDAU SIO SEASON

STRIKE BACK
HOW TO GET AWAY WITH MURDER
 
Back
Top Bottom