Dondoo za Mapenzi

Karibu!Hehehe naona kama umenishukuru mimi japo sio mimi!Vipi hapo mwisho?
.......tehe.......tehe......kona ikipigwa yeyote anaweza kufunga, bora uruke kwa malengo uki-aim kupiga kichwa mpira.
 
Sio kuvizia tu we endelea na ziara za mikutano yako ya ki moyo! kaa hata miezi4 :frog::eyeroll1:
Naona unamlia mtu timing kwenye kona........Reverend, you better take not of this.
user-online.png
 
.......tehe.......tehe......kona ikipigwa yeyote anaweza kufunga, bora uruke kwa malengo uki-aim kupiga kichwa mpira.
Embu naomba ujipige ngumi moja kwanza maana nakuona unanivizia gizani!
 
Lizzy naweza pata uji wa ulezi changanya na maziwa mtindi! Ngoja nitafute ule mkuki wa Kichungaji....

Unakuja baba mchungaji..tena naweka na samli kabisa!!Chapa chapa kabisa hiyo mtu inavizia mama mchungaji inataka kanisa likose mama mlezi!
 
Nitaota sugu tu, Hii dalili njema Michelle naona bado anajiuliza!!!!.... :eyeroll1:
Hahaha labda mistari hailipi!!Hapa baba mchungaji kajenga..so kuhama itakua kazi.. inabidi ukaze buti huko huko!
 
As stated by Rev Masanilo,
First Trust in God the source of all love and hapiness.

second: Live a normall , natural life i.e be yourself and dont act things put in movies. Maisha halisi yana kukwazana na mapungufu madogomadogo. Maisha halisi si kila siku shopping Dubai , ni kuwa mbunifu katika hayo hayo yaliyo ndani ya uwezo wako na kuridhika nayo. Kujitahidi katika yote hasa kumfanya mwenzio azidi kukuamini kwa matendo , jali mafanikio ya mwenzio, mpe moyo na pia samehe , samehe na sema samahani.

Maisha ni rahisi kama kila mtu anajua wajibu wake, mapenzi si kutegeana huyu anatanifanyia nini na atanipa nini, kwa walio katika ndoa, just give the very best , give your whole heart. With God it always works out.

Maneno murua
 
Back
Top Bottom