Dondoo za Mapenzi

Dondoo za Mapenzi

are real constructive words,asnte Lizzy,kama una ya zaid pls lets share
 
Ni dondoo zenye mafunzo mazuri. Asante sana Dada Lizy.
 
Lizzy umeweka nondo za ukweli mtupu. Unaweza kuwa psychologist mzuri sana. Haya mambo yanahitaji muongozo fulani even though si zote zinazingatiwa.
 
Lizzy umeweka nondo za ukweli mtupu. Unaweza kuwa psychologist mzuri sana. Haya mambo yanahitaji muongozo fulani even though si zote zinazingatiwa.

Asante sana kwa hapo penye red......that's exactly what i'm aiming for!!!
 
asante sana kwa tuition yako ya bureee,ntafanyia kazi haraka iwezekanavyo maana hali mbaya!
 
kwa walio ndani ni ngumu sana kutamka samahani kama mtu hanamakosa na ni rahisi sana samahani kwa mtu mwenye makosa(funika kombe mwaharamu apite)
 
Thanks alot coz nmejfunza mengi sana & kp it up na moyo huohuo USICHOKE kutufunza ZAID stay blesed!!!
 
Back
Top Bottom