Donarld Trump: Tutafanya msago wa wahamiaji haramu wa kihistoria

Bullshit

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
1,300
1,495
Hayo ni maneno ya Donarld Trump katika moja ya interview zako uko nchini Marekani.

Trump ameahidi kuwarudisha kwao mamilioni ya wahamiaji haram waliovuka mpaka na kuingia kiolela nchini Marekani.

Aliongezea akisema jiji la New York city nimejaa wahamiaji haram na anataka kuwasafisha.

Hizi mechi uwa nazipenda sana natamani November iwe ndo kesho tupige kura
 
Yupo right kabisa,mgeni anayekuja kwangu LAZIMA atumie mlango why uruke dirishani?,nchi yetu imekua short cut ya human trafficking, ina maana wahamiaji hawa wana breach our porous borders, wapi TPDF wenye jukumu la kulinda mipaka yetu?,wahamiaji wanauruka fence wanatudhalilisha sisi na jeshi letu, President Trump u have my vote kwa hili, kama unataka kuja kwangu plz pitia mlangoni sio kwenye fence yangu, nitakuvuruga
 
Back
Top Bottom