Donald trump

Ingekuwa magufuli, angefungwa mtengeneza hizi memes na ukoo wake mzima

right, unapotezwa mara moja ukimchora hivyo.

Halafu Maharage mnafiki sana, akiongea hadharani huwa anajifanya kujicheka jinsi kipanya anavyochora kichwa chake, ushamsikia? Lakini deep down I am telling you hapendi, huwa anasema kichwa changu ndio kiko vile? Anai take very very personally ile kitu, sasa hivi utasikia Kipanya hajasajiliwa kuchora vikatuni kwa mujibu wa sheria mpya ya habari, kakamatwa...!
 
Kp ndugu yangu jamaa huku mbele ana figisu kibao. Anabadilisha gia anytime
 
ingekuwa bongo sipati picha hao jamaa saizi wangekuwa wapi
 
Left wanakazi sana....!!! Hawataki kubali
 
[HASHTAG]#mataputapu[/HASHTAG]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…