Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,109
- 53,626
Siyo black tu mkuu anawachukia hadi wanawake,anawaita nguruwe!!...akipewa nchi pia ataivuruga mashariki ya kati yote!(Syria,Iraq,Iran,palestine e.t.c)
Republicans ni watu radicals sana.
Simshangai Trump, hao watu wakipewa nchi wataivuruga dunia nzima.
Tutegemee kuanguka kwa uchumi kwa mara nyingine.