Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 6,929
- 6,030
Rais wa Marekani Donald Trump kasema kuna habari njema huko Gaza!
Julai 16, 2025 Rais wa Marekani Donald Trump alitangaza bila kufafanua kuwa “kuna habari njema kuhusu Gaza” katika hafla ya Ikulu ya White House
Mjumbe maalum wa Marekani kwa Mashariki ya Kati, Steve Witkoff, amesema mazungumzo yanayoendelea Doha yana maendeleo mazuri
Chanzo cha kidiplomasia kutoka nchi ya Kiarabu kimeiambia The Times of Israel kuwa kuna nafasi ya kufikia makubaliano ndani ya siku chache
Hii inatokana na uamuzi wa Israel kupunguza kwa kiasi kikubwa uwepo wake wa kijeshi Gaza ndani ya mpango wa kusitisha mapigano kwa siku 60, Hata hivyo, bado kuna masuala muhimu ya kujadiliwa kabla ya makubaliano rasmi kutangazwa.
====
Without elaborating, US President Donald Trump declares at a White House event, “We have good news on Gaza”
US special envoy to the Mideast Steve Witkoff, who is also at the event, tells reporters that talks in Doha are progressing well
Earlier today, an Arab diplomat and a second source involved in mediation efforts told The Times of Israel that a window has been opened to reach a deal within days after Jerusalem agreed to significantly decrease its force presence in Gaza during the 60-day truce currently under discussion
Several other issues still need to be discussed, though, so an announcement of a deal this fast is not likely
US President Donald Trump speaks during a ceremony to sign the "Halt All Lethal Trafficking of Fentanyl Act," in the East Room of the White House, July 16, 2025, in Washington
Source: THE TIMES OF ISRAEL