Donald Trump na Afrika: Bunge Lisilojiheshimu

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,742
40,874
Hili ni toleo la majaribio ya gazeti ambalo litaanza kutoka mitaani nchini Tanzania likiwa na habari na maoni ambayo yako huru zaidi na yenye kuthubutu zaidi nchini. Unaweza kupakua gazeti hili katika majaribio na kujisomea baadhi ya mada na habari mbalimbali zikiwemo:

Donald Trump na Mabadiliko ya Siasa za Dunia
Mkuu Mpya wa Majeshi ya Ulinzi
Makonda na Vita ya Madawa ya Kulevya
Makala yangu kwanini ni vigumu kuliheshimu Bunge
Na mengine mengi katika kurasa 14 (linaweza kutoka mtaani na kurasa zaidi ya hizo baada ya kuboresha mambo mengine)

zmpilot.png

16601910_10154250670496156_3056574269536460600_o.jpg

16507866_10154250670216156_2631028870909579364_n.jpg
 
Attachments

  • ZamaMpyaPilot.pdf
    6.6 MB · Views: 122
Hili ni toleo la majaribio ya gazeti ambalo litaanza kutoka mitaani nchini Tanzania likiwa na habari na maoni ambayo yako huru zaidi na yenye kuthubutu zaidi nchini. Unaweza kupakua gazeti hili katika majaribio na kujisomea baadhi ya mada na habari mbalimbali zikiwemo:

Donald Trump na Mabadiliko ya Siasa za Dunia
Mkuu Mpya wa Majeshi ya Ulinzi
Makonda na Vita ya Madawa ya Kulevya
Makala yangu kwanini ni vigumu kuliheshimu Bunge
Na mengine mengi katika kurasa 14 (linaweza kutoka mtaani na kurasa zaidi ya hizo baada ya kuboresha mambo mengine)

zmpilot.png
Hongera sana kwa zama mpya. Nimelikumbuka Cheche za fikra ambalo lengo lilikuwa ni kuwasha moto ila likaishia kubaki cheche tuu na hatimaye likazima kabla hata moto haujawaka.

Tuombee hii zama mpya itufikishe kweli kwenye zama mpya kweli, isije kuwa ni zama mpya jina tuu, lakini mengine yote ni yale yale.

Weka fee kidogo tu subscribe on line for sustainability.

Hongera sana.

Paskali
 
Usiwe na shaka mkuu..muda haurudi
 
All the best!! Nilivyolipitia kwa haraka haraka, lina kila dalili ya kuwa good stuff labda uamue mwenyewe kuwa vinginevyo!!!
 
Back
Top Bottom