YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 51,995
Magufuli amekuwa akisema wazi kuwa ilikuwa makosa kumwondoa Gadafi kwani maisha ya wananchi walikuwa na maisha mazuri.Raisi Donald TRUMP NAYE kwenye mahojiano haya kaungana na magufuli na kaenda mbali zaidi kasema ilikuwa makosa si tu kuondoa Gadafi bali hata SADAM husein NA kuunga mkono vita syria ilikuwaa Maamuzi ya makosa
huyo msikie mwenyewe
huyo msikie mwenyewe