Freddie Matuja
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 1,467
- 2,861
Trump ana mental caseKatika hali ya kushangaza dunia, Dinald Trump rais anaetetea kiti chake kajitangaza mshindi kabla ya matokeo ya mwisho.
Mpaka sasa Trump ana kura za wajumbe 213 huku Joe Biden akiwa na 238..
Unlikely, as it stands, he need to win all the remaining states. That looks certainly too.Trump anashinda huu uchaguzi
Kwani kura ni ngap kwa ngap mkuuUnlikely, as it stands, he need to win all the remaining states. That looks certainly too.
Biden 238Kwani kura ni ngap kwa ngap mkuu
Biden 238
Trump 213
Zimebaki 87 electoral votes...
Kila mahali kuna madhaifu.
2016 alitushangaza kwa kitu inaitwa Russian intrusion.Trump atatushangaza kama awamu iliyopita..
Katika states 9 zilizobaki.. trump atashinda states 3 zenye electors wengi... na kumuachia bidden states 6 zisizo na electors wengi...
Trump anashindanga states za wazungu wenye uchungu na nchi yao... matokeo ya michigan, florida na ohio ndio yatasema ukweli kama trump anarudi ama anaandamana kaibiwa kura
Siasa ni mchezo mchafu kama wanaouenesha mikono yao sio misafi. Bahati mbaya watu wengi wasafi wamejitoa kwenye mchakato wa kupaya viongozi.