Jamani nimesoma kwamba Dr.Kaberuka anangatuka AfDB baada ya kuongoza benki hiyo kwa vipindi viwili.
Rekodi ya Dr.Kaberuka kama waziri wa fedha wa Rwanda ni ya kupigiwa mfano, na bila shaka mafanikio ya kiuchumi ya Rwanda ni matokeo ya ubunifu na uchapakazi wake wakati akiwa katika nafasi hiyo.
Kwa kweli hakuna wakati ambapo wananchi wa Rwanda wanamhitaji Dr.Kaberuka kama kipindi hiki cha uchaguzi wa Raisi.
Swali la kujiuliza ni je, atakubali kuwatumikia wananchi wake, na kuingia katika kinyanganyiro cha Uraisi wa Rwanda?
Hebu msikilizeni hapa:
cc mchambawima1, MK254, MUKAMASIMBA, murutongore, Talkandtalk, JustDoItNow, jMali, Jasusi

Last edited by a moderator: