- Thread starter
- #21
Siku zote nimekuwa nikidhani huyo bwana ni Mganda.
..Dr.Kaberuka amesoma Tz kuanzia Primary School in Karagwe, sekondari za Ihungo na Tabora Boys, kabla hajajiunga na Chuo Kikuu Dsm.
Siku zote nimekuwa nikidhani huyo bwana ni Mganda.