Don,t make a woman cry

Don,t make a woman cry

Dont make a woman cry because there is nothing more expensive than a lady's tears.

pacha umeongea neno ambalo katika perfect world linaweza kuwa sahihi...

katika dunia hii yenye kila aina ya mitikisiko, wanawake watalia kila siku kwa sababu wao wenyewe ndio vyanzo vya matatizo achilia mbali ukorofi wa wanaume...

wanawake wengi wanajichukulia maamuzi siku hizi bila kushirikisha upande wa pili (mwanaume) ambao ndio uliompa sapoti ya jambo fulani.. kiburi tu....

sishabikii katika kumwaga chozi la mwanamke yeyote, lakini inategemea na mwanaume mmoja kwenda mwingine.

wengine ni wataalam wa kubembeleza, na wengine wana mikono myepesi sana...

hivyo, hamna dunia perfect ya kutofanya mwanamke asilie kwa sababu ya mwanaume.
 
Kaka Mndengereko hebu piga ile mambo yako ya kingendereko sungura1980 asikumbuke kuingia JF kwa muda kidogo. Kuna ka busines plan tunakamalizia apa ili asilete rapsha rapsha. Ntakujuza wakati wa kumwachia. nakala kwa M/kiti.

Am here, ila team rafiki mwenzako Sungura1980 asikusikie kama umeniambia hivyo oooh.
 
Last edited by a moderator:
Kulia mwanamke ni kitu cha kawaida, wanasema inawasaidia kupunguza hasira na msongo wa mawazo.

Watoto wa kiume na wa kike hulia kwa rate moja, ila wakishapevuka, wasichana hulia mara nne zaidi ya wavulana. Maana yake kwa wasichana ongezeko la vichocheo vya kike, estrogen hormones vinasababisha alie haraka zaidi ya mwanaume.

Pia, study zinaonyesha kuwa kutoa jasho kwa wanaume walio wengi kunapunguza uwezekano wa wao kulia "ovyo". Wanaume wanatoa machozi kidogo sana kwa vile jasho wanalotoa lina sumu ambayo ina umajimaji wa machozi. Hata hivyo, tezi za machozi kwa wanaume ni chache kulinganisha na za wanawake.

"Women are from Mars while Men arw from Pluto"
Do women cry more than men? - Curiosity
 
Apo kweli yapo karibu.. yangu hienda yako mislocated or something.

But if it brings you relief... please let them flow responsibly. Kumbuka tu usijelilia pasipo stahili. Lol!!!

Unajua binadamu tunatofautiana sana hivyo si vizuri hata kidogo kugeneralize. Nina rafiki yangu huyo hata akutwe na situationa ya namna gani dada yule huwa hatoi chozi hata kidogo na huwa hata sijui anaweza lizwa na nini. Mimi sasa machozi yangu yako karibu sana hasa ninapoona naonewa, yaani siipendi kabisa hii tabia ya kutoa machozi lkn sina uwezo wa kuzuia. Hapo juzi nilikua nafanya kitu flani sasa kuna software walitakiwa wanipe ili nikamilishe project yangu. Kwa bahati mbaya sikupewa na nikaanza kulaumiwa kwanini sikumaliza kwa wakati si badae machozi hayoooo yakaanza kutoka , ilibidi nijifiche kwanza.
 
Hao mwekundu waking'ang'ania kitu balaa, mtu mzima unaweza kutia saini mikataba ambayo inaweza kuja kukugharimu baadaye.
 
pacha umeongea neno ambalo katika perfect world linaweza kuwa sahihi...

katika dunia hii yenye kila aina ya mitikisiko, wanawake watalia kila siku kwa sababu wao wenyewe ndio vyanzo vya matatizo achilia mbali ukorofi wa wanaume...

wanawake wengi wanajichukulia maamuzi siku hizi bila kushirikisha upande wa pili (mwanaume) ambao ndio uliompa sapoti ya jambo fulani.. kiburi tu....

sishabikii katika kumwaga chozi la mwanamke yeyote, lakini inategemea na mwanaume mmoja kwenda mwingine.

wengine ni wataalam wa kubembeleza, na wengine wana mikono myepesi sana...

hivyo, hamna dunia perfect ya kutofanya mwanamke asilie kwa sababu ya mwanaume.

Yah buddy but kuna some ni prtenders inakua ngumu kujua ana kilio cha huzuni,furaha au ana pretend
 
Hao mwekundu waking'ang'ania kitu balaa, mtu mzima unaweza kutia saini mikataba ambayo inaweza kuja kukugharimu baadaye.

Ha ha wema usizidi uwezo ni balaa
 
Last edited by a moderator:
Mndengereko na sungura1980 hawajarudisha kadi ya #teambazazi hivyo basi wamekosa sifa ya kuwa #teamRafiki

Jamani mbona mwekundu unanipa presha za asubuhi hivi? Mume wangu Sungura1980. Hajawahi kuwa bazazi wala kuwa chama cha teambazazi. Alikuwa kwenye chama cha makapera aliponioa, akaomba kuingia teamrafiki, please kanusha kauli yako.
Labda Mndengereko ndio alikuwa teambazazi.
 
mpeleleze utamkuta na kadi huyo ,na kwa taarifa yako ada ya chama amelipa juzi
 
Na mwanamke pia anaweza kutumia baby care ya 500
 
Yah buddy but kuna some ni prtenders inakua ngumu kujua ana kilio cha huzuni,furaha au ana pretend

mwanamke pretender utamfahamu tu as long as mmeishi pamoja kwa muda mrefu... mwanaume mwenye roho nyepesi ndio hatotambua hilo...

sio kila kilio kinatoka moyoni!

vingine ni lips tu zinachezeshwa!
 
Back
Top Bottom