Don,t make a woman cry

Don,t make a woman cry

Hahahaa.. Mkuu sistahili hio heshima ya Baba ushauri. Hio kofia ni mgawane Wewe, Mr Rocky na Ntunzu tafadhali.
Bantu lady plz come this way, I wanna ruin your lipstick so dearly!!!!!!

mkuu cheo hicho mimi hakinifai ni chako bado sijakomaa vizuri kuna mapungufu ninakuwa nayo sometimes kwenye ushauri si unajua bado naendelea kula ujana,
 
My tears dried up.

Now I have found love, its all smiles.

Lucky me Karucee.

tena kama wewe Karucee ukinililia nasikia hadi raha,kila week i wanna make you cry unaonesha unachozi zuri
 
Last edited by a moderator:
Kila mtu anaupungufu kaka tena mwingi tu. Na walio bora ni wale wanaojiona kuwa na upungufu maana wanajifunza kila siku. ukiona mtu anayesema hana upungufu.. huyo ni wakumhofia sana. maana chances za kuwa hajui ni nyingi kuliko kujua.
mkuu cheo hicho mimi hakinifai ni chako bado sijakomaa vizuri kuna mapungufu ninakuwa nayo sometimes kwenye ushauri si unajua bado naendelea kula ujana,
 
sa kibuti,kidochi au kinini anyway nitakusanya mwenyewtaarifa zangu za kiintelijinsia na kujua unaenda kupakia wapi....

Ha ha ha sio kibuti,kidochi but akili ya kichwa imenicheza ….tumakundi lako la intelijinsia nawaiba juu kwa juu before kamata mimi ..

 
mimi nina mapungufu mkuu
Kila mtu anaupungufu kaka tena mwingi tu. Na walio bora ni wale wanaojiona kuwa na upungufu maana wanajifunza kila siku. ukiona mtu anayesema hana upungufu.. huyo ni wakumhofia sana. maana chances za kuwa hajui ni nyingi kuliko kujua.
 
Kila mtu anaupungufu kaka tena mwingi tu. Na walio bora ni wale wanaojiona kuwa na upungufu maana wanajifunza kila siku. ukiona mtu anayesema hana upungufu.. huyo ni wakumhofia sana. maana chances za kuwa hajui ni nyingi kuliko kujua.

mkuu unakikabakila angle,basi toa neno lako huko kwenye iliyokuwa hoja ya msingi
 
Ooh yeah!!! Aisee Karucee unantamanisha kujua hizo 'ways'. Goodluck. Dont wanna see you cry.

Hahahaaaa. It means am sharp enough to read a mans next move long before he makes it.

Plus other ways. lol
 
You must be very smart on men. Let me hide cause I want my next move to be a suprise. That said.. calm and wait
Hahahaaaa. It means am sharp enough to read a mans next move long before he makes it.

Plus other ways. lol
 
Hii ni kweli sometimes ukibidi tuache tulie ila kwa sababu maalum inaleta raha pale unalia afu jamaa anaanza kukubembeleza kimahaba huku anakupa na kimoja kama kipoozeo unasahau yalotokea....

Safi sana umenigusa sana sijui kitufe cha LIKE nani kachukua sikioni
 
Back
Top Bottom