W Wizzey Nicky Member Joined Jun 5, 2014 Posts 13 Reaction score 1 Jun 7, 2014 #1 Usikubali kuwa msaliti na usishawishike kuwa msaliti, Minaona tamaa ndio chanzo cha usaliti ila tukiachana na tamaa usaliti utakuwa mdogo tena itakuwa vizuri katika uhusiano kwani uaminifu utaongezeka sana,,, ''trust it,, if you are in love''
Usikubali kuwa msaliti na usishawishike kuwa msaliti, Minaona tamaa ndio chanzo cha usaliti ila tukiachana na tamaa usaliti utakuwa mdogo tena itakuwa vizuri katika uhusiano kwani uaminifu utaongezeka sana,,, ''trust it,, if you are in love''
S svoca JF-Expert Member Joined Jun 6, 2014 Posts 373 Reaction score 70 Jun 7, 2014 #2 ni kwel bhana hasa watoto wa shule na vjana vyuon tamaa inawafanya wawe wasalti
E Eric wa simon Member Joined Feb 28, 2014 Posts 7 Reaction score 1 Jun 7, 2014 #3 daa! Ni kwel lakini?
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,092 Reaction score 53,568 Jun 7, 2014 #4 Wewe sio wa kwanza kuimba huo wimbo.