hapa tayari unaonyesha wewe si mwanamme maana wanaume huwa hawana hasira za kijinga na kuwapiga wake zao! mwanamme mwenye akili ni yule anayetumia busara na akhli yake kusuluhisha mambo ukiona mwenye kutumia nguvu ujue ni mpumbavu na kichwani hamnazo na nguvu ndio silaha yakd
Nilishawahi kuandika kwenye thead nyingine kuwa pamoja na yote hayo, wapo pia wanawake wanaopenda kupigwa. Mwingine anakuhakikishia kabisa kuwa anataka kupigwa! Wapo wanaosema wanapenda kupigwa ili ku-prove kama bado wanapendwa na wapenzi wao. Tena huwezi amini hawa ni wanawake au mabinti wa kizazi cha leo. Wako baadhi ya wanawake au mabinti wanapenda na huwa wanalazimisha kupigwa kwa kufanya makosa maksudi kama njia ya kutaka kujua kama mpenzi wake anampenda.Vitu kadhaa niligundua ni kwamba
- mwanaume kumpiga mwanamke doesn't necessarily mean hampendi, but it certainly means ni hatari kwa mke wake.
- Mwanamke anae mvumilia mume wake ambae ni abusive doesn't necessarily do it because she is weak and intimidated, it could also mean she had alternatives but decided to do this.
- Jamii ina role kubwa sana ya ku-play katika kusaidia couples ku-recover from such a climate (mfano wanawake walio pata support ya familia in rural area walirecover in 2-4 month, wale walio ikosa but walipitia a psychiatrist to deal with it, in urban area walipona baada ya miaka 2)
[/LIST]
Nilishawahi kuandika kwneye thead nyingine kuwa pamoja na yote hayo, wapo pia wanawake wanaopenda kupigwa. Mwingine anakuhakikishia kabisa kuwa anataka kupigwa! Wapo wanaosema wanapenda kupigwa ili ku-porve kama bado wanapendwa na wapenzi wao. Tena huwezi amini hawa ni wanawake au mabinti wa kizazi cha leo. Wako baadhi ya wanawake au mabinti wanapenda na huwa wanalazimisha kupigwa kwa kufanya makosa maksudi kama njia ya kutaka kujua kama mpenzi wake anampenda.
Mpenzi wake asiponyanyua mkono, then anajua hapo hapendwi tena. Na kama mpenzi wake alikuwa na tabia ya kumpiga lakini baadae labda kwa kujifunza akaacha kumpiga ndio kabisaa. Ndiyo ataulizwa kama bado unanipenda mbona hunipigi tena?
Wapo pia wanawake au mabinti ambao wanaiga kupigwa/ulimbukeni. Wakisikia wenzao wakisimulia kuwa wamepigwa basi wanafurahi na kutamani na wao kupigwa. Basi watafanya kila wafanyalo au wawezalo ili kuhakikisha kuwa nao wanapigwa na wapenzi wao ili kujua ladha yake ikoje. Pia kuna suala la baadhi ya mabinti tena wa kizazi cha leo kutaka kuwa na the so called "bad boys" who beat them up and treat them like ****.
Sidhani kama wanawake wana-deserve kupigwa lakini, many women don't help themselves either. Wapo wanaume ambao huwa wanapiga defenceless women, lakini pia wapo wanawake who tease men into beating them up.
Sitii neno hapa. Siwezi kubisha maana dunia hii ina mambo. Najua kuna wanawake wanapenda kuzusha ubishi from nowhere just to create hali fulani ya tension. Maybe taken to extreme ndio tabia ya kutaka kupigwa tu hii?
Ukweli ni kwamba kama kuna wanaume ambao wanasolve matatizo kwa kutumia violence lazima kutakua na wanawake pia ambao wanafikiria hivohivo (kua akikosea na ikipigwa basi yameisha)
Kwa kuongezea domestic violence is more than just physical violence.
Domestic violence could also include psychological intimidation and controlling behaviour.
It is said that some women secretly enjoy being abused in sexual relationship, particularly the emotional abuse.
But I think a woman who enjoys being tossed around like a sack of potatoes must have a serious problem.
Kuna wanawake tunao wajua na tusio wajua ambao wana fantasize about being abused. But there is a demarcation between the fantasy world and reality
Hizi tafiti ni za africa, na walio jibu ni waafrika. Kwa hiyo sioni hayo ya kuwahusisha wazungu yametoka wapi.
Hayo ya mwanamke kusema akipigwa ndio anapendwa nimekutana nayo pia, ila nilipotaka kuelewa nilihisi they meant display of jealousy, not the beating. Mfano walisema katika kuonesha mapenzi yao wanaume wanaruhusiwa kupandisha sauti na sometime kofi linaruhusiwa pia. Ila sio kupigana hadi mnatoana meno au kuvunjana miguu
Naungana na Mzalendohalisi; kwamba watu wamagharibi hawawezi kutuamria jinsi ya kupenda au kutopenda wake/wapenzi wetu. Hata kama utafiti umefanyika Africa, outlook/perspective iliyotumika ni ya kimagharibi kabisa; kupenda sio tu kama unavyotaka tuamini bali kila watu na mtu wana/ana namna yake ya kupenda ambayo si lazima ukufurahishe/kukuudhi mtu mwingine. Hata neno domestic violence ni coined term yenye negative connotation katika mtazamo wa kimagharibi; Mbaya zaidi nyinyi mnaodeal na the so-called domestic violence hamtaki kutambua cultural differences, instead muna tafsiri finyu sn ya kimagharibi...Fanyeni tafiti katika tamaduni za kiafrika na katika mtazamo wa kiafrika kupata maana halisi ya hiyo kitu, otherwise kila siku mtakuwa na kesi zisizo na miguu wala vichwa...Or mtaona vitu kama hivi ndivyo vinachangia ndoa na urafiki mwingi afrika kufa na ndio mwanzo wa instabilities katika jamii zetu ambazo zaweza kupelekea mambo makubwa yA HATARI ZAIDI...NI MAWAZO YANGU TU MIMI TRADITIONALIST

Tupe definition ya mapenzi ya kiafrika basi. We would like to know the difference .
Some fantasies are not meant to be fulfilled.
Siwezi kuwa na defition moja ya mapenzi ya kiafrika kwani hapo unaongelea tamaduni nyingi; kwa mfano tu kidogo mimi kijijini KUPENDANA NA MWANAMKE ni kukutana kila wakati usiku kwenye giza vichakani; wakati nyinyi wa mjini INABIDI MKUTANE HOTEL KULA BURGER/PIZZA/ICE CREAM etc. Hawa watu domestic violence wanasema sisi wavijijini TUNAHATARISHA WANAWAKE KUPATA MADHARA KAMA YA NYOKA, UBAKAJI na vitu vingine; lakini kwetu hiki ni kitu cha kawaida; mimi wakati nakuwa mpaka sasa wanawake vijijini hata kama anakupenda vipi, hawezi kuja tu getto taa inawaka akatoa nguo ili mfanya mapenzi; mimi mwenyewe akifanya hivyo huyo malaya; lazima msumbuane sana tu na mwisho uchane nguo yake ya ndani then unapata nawe anafurahi; na aanondoka zake; sasa hawa wa domestic violence wanasema hayo sio mapenzi bali ni assault na ubakaji. Mimi naona sio kweli mkuu...we need serious research to come up with our own framework of these things otherwise we will be always trapped in western web of destabalising us as single communities, nations and continent so that they can easily hegemonically dominate us.