Domestic and wild animals episodes

Hawa nao wana politics, sometimes kuna migogoro ya kifamilia au makundi ambayo hupelekea mauaji na kuwa- exile baadhi ya members
Wana adhabu zao ukofanya makosa au ukotoka familia tofauti na kwenda kupeleka sheria za huko au usiwe na familia kwa muda mrefu uje uibuke tu na kundi lingine la nyani wanakutimua na ugeni wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…