Domain name registration/transfer offer

Domain name registration/transfer offer

KWANZAMEDIA

Member
Joined
Apr 11, 2018
Posts
7
Reaction score
1
Domain zilizopo kwenye offer:
Com
Net
Org
Info

Bei ni tzs 15,000 kwa mwaka

New registration pamoja na domain name transfer.. 0764178822
 
Web design inategemea na aina ya website unataka. Kwa Maelezo zaidi tuwasiliane plz.
 
Kumbe we Tapeli ...kwanza media
Jamaa kajipanga sana kwenye kutapeli watu mimi nawapa tahadhari na mtu huyu ana namba nyingi pia na id nyingi sipendi kuona mtu mwingine anatapeliwa inaumiza sana kwa kipindi hichi pesa zilivyo ngumu mtu anashindwa kuitumia elimu yake anaanza kutapeli watu
hahahahahah kumbe kajambazi
 
Jamaa kajipanga sana kwenye kutapeli watu mimi nawapa tahadhari na mtu huyu ana namba nyingi pia na id nyingi sipendi kuona mtu mwingine anatapeliwa inaumiza sana kwa kipindi hichi pesa zilivyo ngumu mtu anashindwa kuitumia elimu yake anaanza kutapeli watu
Asante sana Kwa kutufungua ...kumbe jamaa Tapeli sugu
 
Back
Top Bottom