Dollar kupaa juu tena?

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,292
Kwa habari nilizosoma nimesikia federal reserve ya Marekani ambao ni wahusika wakuu wa ku control mzunguko wa dola wanapandisha interest rate ya kukopa dollar.

Hii ina maana dollar itapaa tena ghafla kama ilivyopaa kutoka 1800 hadi 2150 ndani ya miezi 5? Maana nasikia hii pia ilisababishwa na kupanda kwa interest rate..
 
Back
Top Bottom