Dokta Slaa aitisha Press Conference Iringa!

Dokta Slaa aitisha Press Conference Iringa!

Nzenzu

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2011
Posts
858
Reaction score
164
Ni kuhusu M4C Iringa baada ya mvutano mkubwa na polisi. Tegemeeni Updates ya yatakachojili!

mkuu kazungumzia kuhusu swala la polisi kuzuia M4C iringa, kasema M4C itaendelea kuanzia trh 2 sept, itafika kijiji mpaka kijiji, kata mpaka kata za Mkoa wa Iringa. Pia wamegundua hujuma na janja ya serikali ya CCM kwa chama chao, ni mkakati wa kukipaka matope CHADEMA. kaahidi kusimama mpaka mwisho. Anaendelea!

View attachment 63433
katibu mkuu wa Chadema Dkt Slaa akionyesha baadhi ya vielelezo kwa wanahabari leo mjini Iringa..
View attachment 63434Katibu mkuu huyo wa Chadema Taifa Dkt Slaa ameibua mambo mazito juu ya waziri Sitta na serikali yake katika mkutano huo na kueleza mikakati mbali mbali ya Chadema .

Source: Francis Godwin Mzee Wa Matukio Daima
 
kama nawaona polisi...aroo arooo ova wakijiandaa na makofia yao na marungu.....
 
Mpaka sasa viongozi wa kitaifa ndio wanasubiliwa, kila kitu kipo sawa!
 
Mpaka sasa viongozi wa kitaifa ndio wanasubiliwa, kila kitu kipo sawa!

Mkuu tafadhali uwe unaweka updates kwenye post ya kwanza. Inakuwa rahisi zaidi kufuatilia.
 
Hakuna jipya hapo, sana sana atakuja na document zingine za siri. Halafu atasema waende mahakamani
 
Nje ni magali ya M4C na yale ya wafuasi wa CDM yanaonekana kwa wingi. Muda si mrefu Viongozi wa kitaifa watawasili.
 
nafikiri atakuja na majibu ya gamba sitta kuhusu kauli yake ya juzi...update muhimu mkuu...
 
Back
Top Bottom