Dokta Shein kuzindua Hotel ya Mtoni Marine mjini Zanzibar

Sunbae

JF-Expert Member
Sep 14, 2015
254
176
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mh Dokta Ali Mohamed Shein muda huu anaweka jiwe la msingi katika Hotel ya Mtoni Marine ambayo inamilikiwa na Mfanyabiashara maarufu nchini Tanzania, Said Salim Bakhresa.

Moja ya sifa za Hotel hiyo ni kwamba itakuwa na;
*Michezo ya maji isiyopungua 10 ukiwemo inner-tube slides, family raft ride,
*Ukifika na gari lako utamuachia dereva funguo na atalipeleka Parking.
*Yatch Club
*Vyumba vyote vinatazama baharini
*Itakuwa na eneo kubwa la beach

Mengine mnaweza kufuatilia LIVE hapa AzamTV

upload_2017-1-3_16-2-18.png
 
nilidhani sasa wamezindua mashine za kuchimba mafuta huko baharini wakati wanajipanga kuzindua kiwanda cha kuyasafisha kwa hapo baadae.
kumbe hotel? room sh. ngapi mkuu
 
Back
Top Bottom