JOYCE PAUL
JF-Expert Member
- Jan 8, 2010
- 1,005
- 83
si alikuwa ameokoka?
Hawa wasanii wana matatizo sana, nadhani alitangaza kuokoka ili kuficha maskendo ama ku-draw attention za watu, kwa kuwa anachokifanya sasa ni kichafu zaidi ya kile alichokuwa anakifanya kabla ya kutangaza kuokoka.si alikuwa ameokoka?
Jamani leo nimejaribu kuchungulia nione kizota kuna ni pale nikamkuta msanii dokii akitoa burudani.yaani nilifadhaika sana na mfadhaiko huo uliniacha na maswali mengi pia..huyu dada alikuwa akikata viuno kama hana akili nzuri mbele ya viongozi wa taifa wenye imani tofauti haswaa za kidini ambao wameshika dini sana..me nimekwazwa na uchezaji wake na wanawake waliokuwa eneo lile wengi wao walijishika midomo huku wameinamisha vichwa vyao chini ishara ya kuhamaki wanachokiona...jamani wasanii angalieni mnatoa wapi burudani na sio kujichetua mbele ya kadamnasi yenye watu wa rika tofauti na imani tofauti..
Tatizo sio viuno, Tatizo bi mdashi ni msanii wa GOSPEL.Hivi wanaocheza ngoma hawakati viuno?
Hapo ingechezwa sindimba viuno vingekatwa na thread isingeanzishwa ila kwa sababu ni dokii mmemuanzishia thread haya ngoja nione..
Acha kumuudhi mungu wewe, huwezi kuihusisha ccm na utakatifu wa mungu!
Palipo na ccm/wanaccm shetani yu katikati yao!