Guerreiro
JF-Expert Member
- Dec 22, 2018
- 736
- 1,135
Siwezi kukuelezea maana huna adabu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Basi ongeeni alafu utanielezea basi[emoji6][emoji9]
Siwezi kukuelezea maana huna adabu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Basi ongeeni alafu utanielezea basi[emoji6][emoji9]
Sure, taaluma + experience=?Una taaluma ya mahusiano au umeandika kwa hisia zako?
nikuiteje mpendwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]shemu tena?[emoji2088]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mweeeh!Siwezi kukuelezea maana huna adabu.
Ledada mpendwa wangunikuiteje mpendwa
Sipendi watu wenye dharau nadhani unajua. Na kuendelea kuwa hapa ni wazi una dharau hiki kikao.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mweeeh!
Nitakuelezea basi mimi
LedadaLedada mpendwa wangu
Sure, taaluma + experience=?
Najua ndioo, basi wacha niondoke[emoji2210][emoji2210][emoji2210][emoji2210]Sipendi watu wenye dharau nadhani unajua. Na kuendelea kuwa hapa ni wazi una dharau hiki kikao.
Ewalaaa[emoji1787]Ledada mpenzi wangu
Najua ndioo, basi wacha niondoke[emoji2210][emoji2210][emoji2210][emoji2210]
Sorry[emoji847]
Sure, muhimu sana maana ukizubaa utasaidiwa kaka.
Pesa inanafasi yake katika mapenzi lakini mautundu ndo yanayoleta heshima ya kweli..
Yako mengi sana ya kuwadokeza ila tutaenda mdogomdogo.....
njoo uchukue karimasi ledadaEwalaaa[emoji1787]
Swali zuri Sana;Nawezaje kuridhisha mpenzi wangu kama sina uwezo wa kufanya hivyo.?
Nyie ni wavulana.Hata wale tunaoishi kwa shemeji zetu pia tuje huku?[emoji16][emoji16][emoji16]
Swali zuri Sana;
Kitu cha kwanza Jiamini Kwamba wewe unaweza kumridhisha (siku zote jiamini katika kila jambo).
Pili, msome mhusika (usikurupuke maana unaweza ishiwa pumzi kabla ya kipindi cha kwanza hakijaisha). Nahofia nisiingie deep sana maana mie mgeni nisijefugiwa (ban) maana Bado sijazijua sheria za humu ila kwa kugha nyepesi hata farasi ukitaka kumpanda ni vyema ukamuandaa kwa japo kumshika sehemu anazopata hisia. Natumai unaelewa nimaanishacho.
Tatu, kuwa mdadisi sana na usiiweke akili yako katika ile safari sana maana utajikuta unatema mate (sakafuni) kabla ya kufika vumbini.
NNE, usiwe na pupa katika safari (nenda sawia na spidi ya mhusika) kumbuka Kila MTU ana speed yake (wengine taarabu, blues, ragga, reggae mpaka rap na country).
Consulting is my hobby nisinogewe nikaandika gazeti hapa mkanichoka mapema...
Natumai kuna kitu umejifunza....