Doing Business 2011 data for Tanzania, tumeanguka nafasi 3 tena! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Doing Business 2011 data for Tanzania, tumeanguka nafasi 3 tena!

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Invisible, Jan 21, 2011.

 1. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #1
  Jan 21, 2011
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 160
 2. Pakawa

  Pakawa JF-Expert Member

  #2
  Jan 21, 2011
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,742
  Likes Received: 3,179
  Trophy Points: 280
  Aibuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!. Kuna nchi ndogo nyingi zinafanya vizuri kasoro bongoland. Nchi nyingi za Afrika ya kati na kusini zinategemea bandari ya Dar pengine na Tanga lakini tunashindwa kujiinua jamani sisi ni washika mkia kila siku looh! Hii nchi ililogwa tangu ilipozaliwa duh
   
 3. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #3
  Jan 21, 2011
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 160
  Mkuu Pakawa,

  Ufisadi (Corruption) kwa mawazo yangu unachangia mambo mengi, mojawapo ni mambo kama haya. Tatizo wengi tafsiri ya ufisadi tunaichukulia vingine, lakini urasimu pia ni sehemu ya ufisadi tu, unafanyiwa urasimu wa kila namna ili utoe rushwa!

  Masikini nchi yangu...
   
 4. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #4
  Jan 26, 2011
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  hii ni kweli kabisa maana nina watu wa karibu waliojaribu kuanzisha biashara! Kuna ukiritimba mwingi na milolongo kibao, hasa kwa wazawa!
   
Loading...